Sifa za Range Rover SUVs za Kisasa zenye Ulinzi Maalum kwa Viongozi wa Kitaifa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo maalum wa mawasiliano uliofichwa.

Magari haya hutumia injini ya 4.4L Twin-Turbo V8, air suspension, na mifumo ya usalama kama 360° cameras na night vision.

Kiwango cha bei kwa aina hizi za armored SUVs mara nyingi huanzia USD $450,000 hadi $900,000, kiwango kinachokadiriwa kuwa ni sawa Fedha za kitanzania Bilioni 2,199,493,800.00 kutegemea kiwango cha ulinzi kilichowekwa.

Pia Soma:

1763366083057.jpeg

1763366124505.png
 
Huku ndio kununua Soksi kabla ya Viatu.... Iwapo viongozi wetu kwenye hii nchi fukara watafanya hivyo (au wamefanya hivyo)
 
Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo maalum wa mawasiliano uliofichwa.
Hivi ukiimwagia petrol ikatepeta mafuta ukatia kiberiti haiwaki? Naomba unipe jibu nikuulize swali lingine..
 
Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo maalum wa mawasiliano uliofichwa.

Magari haya hutumia injini ya 4.4L Twin-Turbo V8, air suspension, na mifumo ya usalama kama 360° cameras na night vision.

Kiwango cha bei kwa aina hizi za armored SUVs mara nyingi huanzia USD $450,000 hadi $900,000, kiwango kinachokadiriwa kuwa ni sawa Fedha za kitanzania Bilioni 2,199,493,800.00 kutegemea kiwango cha ulinzi kilichowekwa.

Pia Soma:

Kwaiyo zile chuma nne zimekula billion 10?
 
Back
Top Bottom