Tuone kama ni fireproofDecember 9 yatakuwa majivu
Hivi ukiimwagia petrol ikatepeta mafuta ukatia kiberiti haiwaki? Naomba unipe jibu nikuulize swali lingine..Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo maalum wa mawasiliano uliofichwa.
Kwaiyo zile chuma nne zimekula billion 10?Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo maalum wa mawasiliano uliofichwa.
Magari haya hutumia injini ya 4.4L Twin-Turbo V8, air suspension, na mifumo ya usalama kama 360° cameras na night vision.
Kiwango cha bei kwa aina hizi za armored SUVs mara nyingi huanzia USD $450,000 hadi $900,000, kiwango kinachokadiriwa kuwa ni sawa Fedha za kitanzania Bilioni 2,199,493,800.00 kutegemea kiwango cha ulinzi kilichowekwa.
Pia Soma:
- 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?
- Msafara wa Samia wa Ma-Range mpya umeng'aa kama ilivyostahili kwa Mafisadi!
Moto kiboko yaoTuone kama ni fireproof