Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lini wanipeleka etiHebu nikatume details za kuweza kufika nyumbani
Leo majamvi ya watu sijui kama yapo salamaMkuu unajua kama juventus kafungwa na Ajax..
Mti wenye matunda.
Sifa ya mwanaume ni kila sifa inayomtofautisha na mwanamke.Jf banah .. ..ukiwa mwanaume ambae ni gender sensitive and tender to family unaonekana sio kabisaaahh. Mfano Kuna jamaa ana Uzi wake kuwa yeye umkabizi Mrs wake mshahara wake wote na maisha yanasonga.
Ila wamemjia juu kuwa Hana sifa za kiume
Leo niulize sifa za mwanaume ni nini??
Ni ubabe
Kugegeda kwa muda usiopungua dk 15 kutafuta bao la kwanza
Uchafu
Uchepukaji
Kunuka kwapa
Mfumo dume etc?
Wakuu sifa za kiume ni zipi?
Uzi tayari, karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app