Sifa za uanaume ni zipi???

Sifa za uanaume ni zipi???

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Jf banah .. ..ukiwa mwanaume ambae ni gender sensitive and tender to family unaonekana sio kabisaaahh. Mfano Kuna jamaa ana Uzi wake kuwa yeye umkabizi Mrs wake mshahara wake wote na maisha yanasonga.

Ila wamemjia juu kuwa Hana sifa za kiume

Leo niulize sifa za mwanaume ni nini??

Ni ubabe
Kugegeda kwa muda usiopungua dk 15 kutafuta bao la kwanza
Uchafu
Uchepukaji
Kunuka kwapa
Mfumo dume etc?

Wakuu sifa za kiume ni zipi?

Uzi tayari, karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We n me or ke?

Awe na uume
Awe na uwezo wa kusimamisha na kufcuk
Babe rafiki unapenda sana lihogo eeeehhh?
IMG_20190402_105410.jpeg
 
Mwanaume ni kukaza kila kona hata kwenye nyuzi kama hizi ni kukaza.
 
Back
Top Bottom