Sifa za uanaume ni zipi???

Sifa za uanaume ni zipi???

Mkuu unajua kama juventus kafungwa na Ajax..

Mti wenye matunda.
 
Jf banah .. ..ukiwa mwanaume ambae ni gender sensitive and tender to family unaonekana sio kabisaaahh. Mfano Kuna jamaa ana Uzi wake kuwa yeye umkabizi Mrs wake mshahara wake wote na maisha yanasonga.

Ila wamemjia juu kuwa Hana sifa za kiume

Leo niulize sifa za mwanaume ni nini??

Ni ubabe
Kugegeda kwa muda usiopungua dk 15 kutafuta bao la kwanza
Uchafu
Uchepukaji
Kunuka kwapa
Mfumo dume etc?

Wakuu sifa za kiume ni zipi?

Uzi tayari, karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa ya mwanaume ni kila sifa inayomtofautisha na mwanamke.
 
Ukiachana na zote moja ambayo ni miongoni mwa sifa unique sisi ni polygamist in nature kwa hyo mwanaume uspokuwa na mchepuko kuna ulakini kwenye jinsia yako
 
Back
Top Bottom