Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kama mchezaji ambaye afananii na mchezaji yeyote Tanzania kwa uwezo anaitwa Sakho ndiye aliyetupia goli na kuwasumbua sana mabeki wa Yanga. Morrison nae kafanya yake kapiga mashuti mawili yakagonga mwamba. Diarra kafanya save tatu kutoka kwa Triple C mwamba wa Lusaka kipenzi cha Msimbazi fundi wa mpira, na ndiye aliyetoa assist goli la Sakho. Kibu denis na Mugalu wamepiga mashuti kibao ila ashukuriwe Diarra kwa save alizofanya la sivyo Yanga walikuwa wanakufa goli nne. Achana na mafundi waliopo msimbazi ni level za kimataifa tupu.Nani alileta madhara yoyote upande wa Kibwana
Hakuna sehemu kapombe kavalishwa kikoi... Ila kuna sehemu fei toto aliteguliwa nyonga
Yule kateleza , fei Jana kateleza TU na akaamua kufanya maksud Ili mpira usiende mbele, na chama ana nn kwa sasa sui mtu paleHakuna sehemu kapombe kavalishwa kikoi... Ila kuna sehemu fei toto aliteguliwa nyonga
We kimsng mpira huujui laza domo ishia kutizama TU,Hujui kama mchezaji ambaye afananii na mchezaji yeyote Tanzania kwa uwezo anaitwa Sakho ndiye aliyetupia goli na kuwasumbua sana mabeki wa Yanga. Morrison nae kafanya yake kapiga mashuti mawili yakagonga mwamba. Diarra kafanya save tatu kutoka kwa Triple C mwamba wa Lusaka kipenzi cha Msimbazi fundi wa mpira, na ndiye aliyetoa assist goli la Sakho. Kibu denis na Mugalu wamepiga mashuti kibao ila ashukuriwe Diarra kwa save alizofanya la sivyo Yanga walikuwa wanakufa goli nne. Achana na mafundi waliopo msimbazi ni level za kimataifa tupu.
Pape Osman Sakho Special Thread
Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzaniawww.jamiiforums.com
Mhh tahiraaMorrison
Kama hizi akili ndiyo unatumia kuvukia barabara jihadhari sanaHujui kama mchezaji ambaye afananii na mchezaji yeyote Tanzania kwa uwezo anaitwa Sakho ndiye aliyetupia goli na kuwasumbua sana mabeki wa Yanga. Morrison nae kafanya yake kapiga mashuti mawili yakagonga mwamba. Diarra kafanya save tatu kutoka kwa Triple C mwamba wa Lusaka kipenzi cha Msimbazi fundi wa mpira, na ndiye aliyetoa assist goli la Sakho. Kibu denis na Mugalu wamepiga mashuti kibao ila ashukuriwe Diarra kwa save alizofanya la sivyo Yanga walikuwa wanakufa goli nne. Achana na mafundi waliopo msimbazi ni level za kimataifa tupu.
Pape Osman Sakho Special Thread
Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzaniawww.jamiiforums.com
Kama Kibwana Shomari hakuwadhibiti mastriker wa Simba, je hao striker walifunga magoal mangapi?Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
Sasa kama mpira ni mchezo wa wazi lakini jitu linakuja kusema Kibwana anapewa sifa za uongo na wakati hakuna mchezaji yeyote wa Simba aliyefurukuta kwake. Basi tufanye wachezaji wa Simba wali perform vizuri na wakapata na goli alizike na roho yakeKama hizi akili ndiyo unatumia kuvukia barabara jihadhari sana
Aliyefanya kazi kubwa ni Manyeto. Morrison alishamtoka kibwabwa ndio manyeto akamgonga Morrison kwa goti. Rejea tukio Morrison alilopata kadi pamoja na DiarraKama Kibwana Shomari hakuwadhibiti mastriker wa Simba, je hao striker walifunga magoal mangapi?
Sasa inakuwaje hamna video yoyote ikionesha kazi ya kibwabwa wenu zaidi ya ile ya fei akimpiga darizi Kapombe?Sasa kama mpira ni mchezo wa wazi lakini jitu linakuja kusema Kibwana anapewa sifa za uongo na wakati hakuna mchezaji yeyote wa Simba aliyefurukuta kwake. Basi tufanye wachezaji wa Simba wali perform vizuri na wakapata na goli alizike na roho yake
Hatuna huo ushamba wakijinga kama wako, video ya nini wakati kila mtu kaona junsi wachezaji tena wale wanaoimbwa Msimbazi wakidhihitiwa. Wewe ni mpuuzi usiyejua mpira, tuanzie kwako kwanza kutupa video ya mchezaji wenu akimfanya Kibwana kuwa uchochoro maana wewe ndiye uliyekuja na uzi kuwa Kibwana kapewa sifa za uongo. Hivyo ulipaswa uje na ushahidi wa matukio lasivyo utakuwa kama mtoto wa kike wanavyokuwa na wivu na wambeaSasa inakuwaje hamna video yoyote ikionesha kazi ya kibwabwa wenu zaidi ya ile ya fei akimpiga darizi Kapombe?
Video ndio zinampa mchezaji soko na sio maneno... Kama huamini tutaona namna gani Hinonga atapokea ofa kibao huku kibwabwa akibaki utopoloni.
Una ushamba sana yaani mechi isha isha bado una pambanaKumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwana Shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
Dada yangu umeandika maelezo yanachosha sanaHatuna huo ushamba wakijinga kama wako, video ya nini wakati kila mtu kaona junsi wachezaji tena wale wanaoimbwa Msimbazi wakidhihitiwa. Wewe ni mpuuzi usiyejua mpira, tuanzie kwako kwanza kutupa video ya mchezaji wenu akimfanya Kibwana kuwa uchochoro maana wewe ndiye uliyekuja na uzi kuwa Kibwana kapewa sifa za uongo. Hivyo ulipaswa uje na ushahidi wa matukio lasivyo utakuwa kama mtoto wa kike wanavyokuwa na wivu na wambea