Sifa za wakuu wa habari vilabuni

Sifa za wakuu wa habari vilabuni

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Kuna kanuni mpya itaanza kutekelezwa huu msimu mpya wa VPL.

Ili kuleta weledi na kupata watu sahihi, kanuni inataka wakuu wa vitengo vya habari, maarufu kama wasemaji wa club, wawe angalau na elimu ya Chuo Kikuu - degree.

Mmeona wasio na sifa wameanza mdogo mdogo kuondoka kwa gia za kimjijimjini ikiwemo afya mgogoro.

Kwa hili, nawapongeza TFF.
 
Mnaongelea sana watu ndiyo maana mnafananishwa na manyani.
FB_IMG_1597331622362.jpg
 
Back
Top Bottom