Manara vipi kwani? Anayo degree?Hahahaha kwisha habari yake
Du, huyo ndo kichwa chaoAipate wapi? Hana kitu
Degree ndio inaongea kwani? Manara is the best ever.
Watu wanashindwa kutambua soka letu linahitaji hamasa zaidi ya hapa. Na Manara kwa hiyo kazi ya hamasa ana PhD zaidi ya hicho kikaratasi cha DegreeDegree ingekuwa ndiyo busara au ufundi wenyewe, mzee baba angekuwa baba lao.
Hizi kanuni mpya zimemlenga huyu mwamba na siyo kingine.Manara vipi kwani? Anayo degree?
Akasome tu ,mbona degree miaka mitatu tu.Au na vigezo vya kujiunga na degree hana?Hizi kanuni mpya zimemlenga huyu mwamba na siyo kingine.
Anayo ya umbea na Tozi DegreeManara vipi kwani? Anayo degree?
Wakati wenzie wameweka mkazo kwenye masomo yeye alikuwa kwa Mzee Tozi.Akasome tu ,mbona degree miaka mitatu tu.Au na vigezo vya kujiunga na degree hana?
Hivi huyu mzee akimfanyaje huyu jamaa?Wakati wenzie wameweka mkazo kwenye masomo yeye alikuwa kwa Mzee Tozi.
Umri umeenda sheikhAkasome tu ,mbona degree miaka mitatu tu.Au na vigezo vya kujiunga na degree hana?
Hawa mpira umewashinda wameanzisha ligi nyingineManyani katika ubora wenu, wa kuropoka tu