ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nyie wa mkoani kinachowasumbua sana ni mapenzi, mnauana sana kisa wivu wa mapenzi, washamba nyie 🤣🤣Ndio muache kua mnapaki magari na kupanga foleni kwa wauza miguu na utumbo wa kuku...😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wa mkoani kinachowasumbua sana ni mapenzi, mnauana sana kisa wivu wa mapenzi, washamba nyie 🤣🤣Ndio muache kua mnapaki magari na kupanga foleni kwa wauza miguu na utumbo wa kuku...😜
Hapana mkuu, endeleeni kunyoosha miguu huko sinza na mwenge ili msuguliwe, muoshwe na wanaume wanao toka mikoani...😊Unataka tupaki punda kama ninyi uko singida
Hapa ni uongo sasa 😂😂Kuna mwingine huko daslam alikuja kuomba ushauri eti afanyeje dem wake kamuomba akamsaidie kubadilisha balbu ya chumbani...🤣
kazi kwelikweliMwanamume wa leo anashinda jamii forum kuwaza aandike nini
mpaka unajiuliza huyu ni mwanaume au wakiumeMwanaume wa leo anachamba kama mtoto wakike.
unasikitisha aiseeIla hao wapo wengi wanaoshindwa kubadilisha [emoji362] iliyo ungua wanaita fundi na hajui bei ya [emoji362] nakula pesa zao nyingi sana
uhh wapi hata wa mkoa wapo wengi tuMinaona hizo zote ni sifa za wanaume wa daslam...[emoji53]
[emoji1787][emoji1787]Kwanza mwambie aombe uzi ufutwe, yule alieleta uzi kwamba kaua mnyama mkali ndani, akaitupia na picha.... kumbe mjusi..[emoji12]
hawezi kuwa seriousKuna mwingine huko daslam alikuja kuomba ushauri eti afanyeje dem wake kamuomba akamsaidie kubadilisha balbu ya chumbani...[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa ile shoti niliyopigwa hadi nikatambaa acha tu niwe miongoni mwa wanaume wa leo. Bulb badilini nyinyi
subscribed
ndoiwafanye wawe mayaimayai etiWanaume wa leo wanapitia mitihani sana kwa wanawake zao.
anashushia na energy drinkKwani mimi ndio niliwashauri mue mnakula chipsmayai yenye tomato nyingi mkuu...[emoji5]
afu wakikosa nguvu za kiume wanatafuta mchawiWanaume wa leo hawataki kula Ugali wanataka kula Biscuits na Soda.
Anaye jiita wanaume, leo anaogopa kuoa.Maisha yanatupeleka kasi sana na wanaume wa dizaini za Baba zetu wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu nilichokiona.
-Mwanaume wa leo hawezi badili taa iliyoungua mpaka amwite fundi.
-Mwanaume wa leo anaogopa panya.
-Mwanaume wa leo anakagua masufuria jikoni/kulamba mwiko.
-Mwanaume wa leo anajipodoa/kuvaa nguo zinazoonyesha maungo yake.
-Mwanaume wa leo anakula asivyogharamia.
Ongezea vya kwako ulivyoviona kabla hatujaanza vya wanawake wa leo ambao si kama mama zetu.
Maisha yanatupeleka kasi sana na wanaume wa dizaini za Baba zetu wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu nilichokiona.
-Mwanaume wa leo hawezi badili taa iliyoungua mpaka amwite fundi.
-Mwanaume wa leo anaogopa panya.
-Mwanaume wa leo anakagua masufuria jikoni/kulamba mwiko.
-Mwanaume wa leo anajipodoa/kuvaa nguo zinazoonyesha maungo yake.
-Mwanaume wa leo anakula asivyogharamia.
Ongezea vya kwako ulivyoviona kabla hatujaanza vya wanawake wa leo ambao si kama mama zetu.
kupa ni nini mkuuAnaye jiita wanaume, leo anaogopa kupa.
🤣🤣 umeme na mimi hapana kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Ngoja nikutafutie huo uzi mkuu...🤣Hapa ni uongo sasa 😂😂
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa......Tena rojo anakwambia yai lisikauke sana...jamani!