Sifa za wanaume wa leo

Sifa za wanaume wa leo

Maisha yanatupeleka kasi sana na wanaume wa dizaini za Baba zetu wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu nilichokiona.

-Mwanaume wa leo hawezi badili taa iliyoungua mpaka amwite fundi.
-Mwanaume wa leo anaogopa panya.
-Mwanaume wa leo anakagua masufuria jikoni/kulamba mwiko.
-Mwanaume wa leo anajipodoa/kuvaa nguo zinazoonyesha maungo yake.
-Mwanaume wa leo anakula asivyogharamia.

Ongezea vya kwako ulivyoviona kabla hatujaanza vya wanawake wa leo ambao si kama mama zetu.
Anaye jiita wanaume, leo anaogopa kuoa.
 
Mwanaume wa leo anatumia smart phone kuwasimanga wenzake wakati wa kazi, zaman mda huu alikuwa shambani.
 
Back
Top Bottom