3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
hakikaTatizo lipo hapa tu Mungu hakupi vyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakikaTatizo lipo hapa tu Mungu hakupi vyote.
Wadigo wapo tanga mjiniEbu kwanza nambie wanapatikana maeneo yapi?
Wadigo wapo tanga mjini
Mwahako
Mwakidila
Mwachui
Gombero
Kicharikani
Sahara huku wamechanganyikana na Wapemba
Tanga mjin ni kwao so wapo sehem nyingi
Na wilaya ya pangani
Wadigo walifanya nisahau kurudi Manzese
Wadigo ni wengiOooh,
Kumbe tanga mjini ni ya wadigo, kwa hiyo mpaka wale wa afkast ni wadigo?
story nyingi kama hizi hazina uhalisia hasa kwa hawa mabinti wa huku mjini kizaz cha dot.com maana wengi wao wa mjini si wale wanaojali makabila au mila za kikwao so hayo mambo ya majamboz na maujuzi ni jitihada binafsi za muhusika na bidii yake kujifunza vitu vipya atakuwaje zoba kipindi hiki cha mitandao na internetKwenye utafutaji wanawake wa kisambaa ni wazuri mno na anapenda kujishughulisha tofauti na wa kidigo wengi ni wavivu ila kitandani na mapishi wadigo hatari ukioa mdigo jipange sana kwa namna yoyote lazima ule na wenzio
Kama unataka mtafutaji oa msambaa
Tunaomba Id basi atufundishe na sisi namba AAise kuna mdigo mmoja mrembo wa jf tuligegeduana....hatari mrembo huyo anajua jamani kuchezea delibolo balaaa. Mpaka kesho sijapata wakumzidi
Ah wee tugegedana mwisho wake nikaja haribu mwenyewe kwa tamaa za mbususu...ndio huyu aliyenilisha shahawa zangu. So naona kabadilisha id yake humu na kashaolewaTunaomba Id basi atufundishe na sisi namba A
HahahahTunaomba Id basi atufundishe na sisi namba A
Hao chotara hawana Kabila?Wadigo ni wengi
Wakifuatiwa na wasambaa
Ila makabila mengine yapo kama hao chotara unaowasemea
Swali gani sasa hiliHao chotara hawana Kabila?
Umeliona hilo ndg,mimi ni muathirika wa vitendo vya kishirikina kutoka kwa wanawake wa kisambaa,nimeponea chupuchupu kuuliwa na mke niliokuwa nimeoa mwnyj wa lushoto Lukozi huko.Wadigo sina uzoefu nao.
Wanawake wa Kisambaa na Wabondei wanapenda sana mambo ya Kijamaa. (Kutembeleana au Kila mwanaume anaetokea Tanga yeye atamwita Kaka) wana element za ukabila. Pia kwenye ndoa sio watulivu.
Pia wanaendekeza sana inshu za uganga wa kienyeji.
Umemaliza kila kituWasambaa ni wapambanaji zaisi unavyojua wachapa KAZI Wana malezi Bora Kwa watoto ,wanapenda sana ndugu haswa watu wa kabila lao Wana soko Sana la kuolewa kwao Wanachakarika Sana kutafuta pesa.
Wengi waliooa wasambaa Wana mafanikio maana wasichana wa kisambaa na wasambaa Wana nyota ya biashara ndogo ndogo
Tatizo Leo sio wajanja mweny mapenzi kuwazidi wadigo mfano mapishi ,kitandani
Wadigo ni wanawake weny upendo na huba nzuri ,mdigo anataja biashara za kistaa tu hata kama hailipi mfano kuuza nguo za kike sijuo Madera ,vipochi ila upeleke sijui sokoni humpati ,wanapenda kujifaharisha sana mfano kweny harusi kuvaa kupendeza na kupika mavyakula ya gharama hata kama anaishi nyumba ya udongo harusi atafanya ya gharama na mlolongo mrefu kuna ndundu party, kitchen party sometime harusi inakaa siku Saba ila maendeleo hakuna makazi duni
Ukitaka kumfaidi mdigo uwe na pesa basi hapo hata uoe wake sita hatokusema mtimizie Kila kitu .kuwe makini hawa ni hatari kwa wageni ambao sio jamii yao kupigwa limbwata ukasahau kwenu dk sifuri ukiwa na uwezo wa kipesa
Wadigo wanavutia ukiongea nao hautotamani kumaliza tulienda na jamaa huko udigoni alikuwa anaongea na mmoja ikapita kama lisaa ivi wanaongea tulikuwa tumepozi tunaelekea kenya nikamuuliza umemtaka au akasema napenda tu lafudhi yao ndo maana natamani kuongea nae na kumuuliza maswali