sifa za wanawake "Mdigo vs Msambaa"

sifa za wanawake "Mdigo vs Msambaa"

Oooh,

Kumbe tanga mjini ni ya wadigo, kwa hiyo mpaka wale wa afkast ni wadigo?
Wadigo wapo tanga mjini

Mwahako
Mwakidila
Mwachui

Gombero

Kicharikani

Sahara huku wamechanganyikana na Wapemba

Tanga mjin ni kwao so wapo sehem nyingi

Na wilaya ya pangani


Wadigo walifanya nisahau kurudi Manzese
 
KWA UTAFITI NILIOUFANYA...

UKISIKIA MAPENZI YAMEZALIWA TANGA UJUE INAWAHUSU WADIGO(waja leo waondoka leo) ...

UKISIKIA KUNANI PALE... UCHAWI NA UGANGA WA KIENYEJI(NAO NI UCHAWI TU) ... UJUE NI WAZIGUA...

WASAMBAA NA WABONDEI... WOTE BAADHI WANA VYOTE UCHAWI NA MAPENZI... AU HAWANA VYOTE... AU WANA KIMOJA...
 
Kwenye utafutaji wanawake wa kisambaa ni wazuri mno na anapenda kujishughulisha tofauti na wa kidigo wengi ni wavivu ila kitandani na mapishi wadigo hatari ukioa mdigo jipange sana kwa namna yoyote lazima ule na wenzio
Kama unataka mtafutaji oa msambaa
story nyingi kama hizi hazina uhalisia hasa kwa hawa mabinti wa huku mjini kizaz cha dot.com maana wengi wao wa mjini si wale wanaojali makabila au mila za kikwao so hayo mambo ya majamboz na maujuzi ni jitihada binafsi za muhusika na bidii yake kujifunza vitu vipya atakuwaje zoba kipindi hiki cha mitandao na internet
 
Wadigo sina uzoefu nao.

Wanawake wa Kisambaa na Wabondei wanapenda sana mambo ya Kijamaa. (Kutembeleana au Kila mwanaume anaetokea Tanga yeye atamwita Kaka) wana element za ukabila. Pia kwenye ndoa sio watulivu.

Pia wanaendekeza sana inshu za uganga wa kienyeji.
Umeliona hilo ndg,mimi ni muathirika wa vitendo vya kishirikina kutoka kwa wanawake wa kisambaa,nimeponea chupuchupu kuuliwa na mke niliokuwa nimeoa mwnyj wa lushoto Lukozi huko.
 
Wasambaa ni wapambanaji zaisi unavyojua wachapa KAZI Wana malezi Bora Kwa watoto ,wanapenda sana ndugu haswa watu wa kabila lao Wana soko Sana la kuolewa kwao Wanachakarika Sana kutafuta pesa.
Wengi waliooa wasambaa Wana mafanikio maana wasichana wa kisambaa na wasambaa Wana nyota ya biashara ndogo ndogo

Tatizo Leo sio wajanja mweny mapenzi kuwazidi wadigo mfano mapishi ,kitandani

Wadigo ni wanawake weny upendo na huba nzuri ,mdigo anataja biashara za kistaa tu hata kama hailipi mfano kuuza nguo za kike sijuo Madera ,vipochi ila upeleke sijui sokoni humpati ,wanapenda kujifaharisha sana mfano kweny harusi kuvaa kupendeza na kupika mavyakula ya gharama hata kama anaishi nyumba ya udongo harusi atafanya ya gharama na mlolongo mrefu kuna ndundu party, kitchen party sometime harusi inakaa siku Saba ila maendeleo hakuna makazi duni

Ukitaka kumfaidi mdigo uwe na pesa basi hapo hata uoe wake sita hatokusema mtimizie Kila kitu .kuwe makini hawa ni hatari kwa wageni ambao sio jamii yao kupigwa limbwata ukasahau kwenu dk sifuri ukiwa na uwezo wa kipesa

Wadigo wanavutia ukiongea nao hautotamani kumaliza tulienda na jamaa huko udigoni alikuwa anaongea na mmoja ikapita kama lisaa ivi wanaongea tulikuwa tumepozi tunaelekea kenya nikamuuliza umemtaka au akasema napenda tu lafudhi yao ndo maana natamani kuongea nae na kumuuliza maswali
Umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom