Wasambaa ni wapambanaji zaisi unavyojua wachapa KAZI Wana malezi Bora Kwa watoto ,wanapenda sana ndugu haswa watu wa kabila lao Wana soko Sana la kuolewa kwao Wanachakarika Sana kutafuta pesa.
Wengi waliooa wasambaa Wana mafanikio maana wasichana wa kisambaa na wasambaa Wana nyota ya biashara ndogo ndogo
Tatizo Leo sio wajanja mweny mapenzi kuwazidi wadigo mfano mapishi ,kitandani
Wadigo ni wanawake weny upendo na huba nzuri ,mdigo anataja biashara za kistaa tu hata kama hailipi mfano kuuza nguo za kike sijuo Madera ,vipochi ila upeleke sijui sokoni humpati ,wanapenda kujifaharisha sana mfano kweny harusi kuvaa kupendeza na kupika mavyakula ya gharama hata kama anaishi nyumba ya udongo harusi atafanya ya gharama na mlolongo mrefu kuna ndundu party, kitchen party sometime harusi inakaa siku Saba ila maendeleo hakuna makazi duni
Ukitaka kumfaidi mdigo uwe na pesa basi hapo hata uoe wake sita hatokusema mtimizie Kila kitu .kuwe makini hawa ni hatari kwa wageni ambao sio jamii yao kupigwa limbwata ukasahau kwenu dk sifuri ukiwa na uwezo wa kipesa
Wadigo wanavutia ukiongea nao hautotamani kumaliza tulienda na jamaa huko udigoni alikuwa anaongea na mmoja ikapita kama lisaa ivi wanaongea tulikuwa tumepozi tunaelekea kenya nikamuuliza umemtaka au akasema napenda tu lafudhi yao ndo maana natamani kuongea nae na kumuuliza maswali