sifa za wanawake "Mdigo vs Msambaa"

sifa za wanawake "Mdigo vs Msambaa"

Wakuu habari,

Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku,

Pia Nani kafundwa Kama mmakonde?

Ujumbe

"Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye upendo wa kweli! Ukiona kabadilika! Jua kabadilishwa USIMLAUMU" (mshana junior 2017)

Mshana Jr
Wadigo ni viburudisho, wasambaa ni wake.
 
Wote ni wazuri ila matumizi ndio yataamua nani ni bora zaidi na kwenye mazingira gani
 
Back
Top Bottom