Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Wadigo ni viburudisho, wasambaa ni wake.Wakuu habari,
Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku,
Pia Nani kafundwa Kama mmakonde?
Ujumbe
"Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye upendo wa kweli! Ukiona kabadilika! Jua kabadilishwa USIMLAUMU" (mshana junior 2017)
Mshana Jr