Sifa za wanawake wa kichaga

Sifa za wanawake wa kichaga

sijui nina nini na wanawake wa marangu.
 
SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA
1. Wakarimu
2. Waaminifu
3 . Wavumilivu
4. Wachapakazi
5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌

Nani anabisha ? 😁ajifanye kama anajikuna😁😁😁😁😁
Hizo sifa za Mwaka gani hadi mwaka gani? Au ni za karne ipi
 
Back
Top Bottom