Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kwa hiyo tukiwapata tukushukuru lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilisikia neno mashaAllah kutoka kwa wanaume jipigepige matakoni kwa viganja huku ukimshukuru Muumba wako kwa kukujaalia "mzigo" wa haja na kivutio cha wanaume[emoji1] [emoji1] [emoji1] sikwel ila tunapendwa saana yaani vile tukitembea unaskia mwanaume anasema mashaAllah
Nna cm 178 mkuu
Uwe mrefu halafu umekatika vizuri basi😛😋😋 hapo Mashaallah ila ukiwa jau hamna mtu ataku recognise[emoji1] [emoji1] [emoji1] sikwel ila tunapendwa saana yaani vile tukitembea unaskia mwanaume anasema mashaAllah
Dah mimi si miongoni mwao😂😂Warefu wana nyodo sana hii ndio sifa yao kuu😅
Watu wazuri? Hahaa wafupi ndiyo wacute hao🤪Hongera kimo cha watu wazuri kimuonekano hiko, no matter bodysize
Unajikosha eeh😅Dah mimi si miongoni mwao😂😂
Kweli bana😂😂🏃♀️Unajikosha eeh😅
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume hawavutiw na kauli pekee huenda unamacho mazur, sauti nzur , mwili mzur huna shape kubwa na rangi pia hayo makalio sio wote wenye kuhangaika nayoUkilisikia neno mashaAllah kutoka kwa wanaume jipigepige matakoni kwa viganja huku ukimshukuru Muumba wako kwa kukujaalia "mzigo" wa haja na kivutio cha wanaume
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama sura inalipa na macho mazur, halafu unatembea natabasam njian weee lazm watu wakutazameUwe mrefu halafu umekatika vizuri basi[emoji14][emoji39][emoji39] hapo Mashaallah ila ukiwa jau hamna mtu ataku recognise
Kwa sababu wanaume wanajua kutunza hela Sana!Ukizipata,ulete nikutunzie