Sifa za wanawake wanene au wafupi

Sifa za wanawake wanene au wafupi

[emoji1] [emoji1] [emoji1] sikwel ila tunapendwa saana yaani vile tukitembea unaskia mwanaume anasema mashaAllah
Ukilisikia neno mashaAllah kutoka kwa wanaume jipigepige matakoni kwa viganja huku ukimshukuru Muumba wako kwa kukujaalia "mzigo" wa haja na kivutio cha wanaume
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sikwel ila tunapendwa saana yaani vile tukitembea unaskia mwanaume anasema mashaAllah
Uwe mrefu halafu umekatika vizuri basi😛😋😋 hapo Mashaallah ila ukiwa jau hamna mtu ataku recognise
 
Ukilisikia neno mashaAllah kutoka kwa wanaume jipigepige matakoni kwa viganja huku ukimshukuru Muumba wako kwa kukujaalia "mzigo" wa haja na kivutio cha wanaume
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume hawavutiw na kauli pekee huenda unamacho mazur, sauti nzur , mwili mzur huna shape kubwa na rangi pia hayo makalio sio wote wenye kuhangaika nayo
 
Uwe mrefu halafu umekatika vizuri basi[emoji14][emoji39][emoji39] hapo Mashaallah ila ukiwa jau hamna mtu ataku recognise
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama sura inalipa na macho mazur, halafu unatembea natabasam njian weee lazm watu wakutazame
 
Back
Top Bottom