KERO Sifieni mnavyoweza lakini huku Goba maji tunaletewa mara Moja kwa wiki tena usiku mnene

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.

Wananchi wamekata tamaa.
 
DAWASA na mh aweso wana habari hii?!
 
📌JIJI KUBWA/ KITOVU CHA NCHI /SURA YA NCHI/ RECEPTION YA NCHI.SWALA LA MAJI NI DASLAM YOTE HAMNA MAJI KARIBU VITONGOJI VYOTE🥱🥱🥱

KWAKO CHAWA WA KIMATAIFA COMRADE Lucas Mwashambwa tububujishe kwa machozi na gazeti refu!!!
Msitughasi tuko busy na tamasha la kuwapa tuzo wakina Jotty, nyie msubirini kwanza. Shida zenu pelekeni kwa mwenyekiti wa mtaani kwenu.
 
📌JIJI KUBWA/ KITOVU CHA NCHI /SURA YA NCHI/ RECEPTION YA NCHI.SWALA LA MAJI NI DASLAM YOTE HAMNA MAJI KARIBU VITONGOJI VYOTE🥱🥱🥱

KWAKO CHAWA WA KIMATAIFA COMRADE Lucas Mwashambwa tububujishe kwa machozi na gazeti refu!!!
Embu ngoja nifuatilie jambo hilo . Kwa hiyo kuweni na subira wakati huu nikifuatilia jambo hilo kutafuta majawabu.
 
Hiki ni kipindi Cha ukame.
DAWASA nao wanazingua, walipaswa kuwapa tahadhari wananchi kama TANESCO wanavyofanya.
Hatuhitaji tahadhari tunahitaji maji serikali inakusanya kodi ili itoe huduma za raia wake kwa ukamilifu.
Kwani serikali haijui kuwa kunakuwaga ukame?
 
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.

Wananchi wamekata tamaa.
yaani ukiyakosa jumatano mpaka jumatano nyingine
 
In abundance of water, a fool is thirsty....
 
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.

Wananchi wamekata tamaa.
Kwani Goba kuna watu wanaishi huko

Ndio nasikia leo kwako
 
Back
Top Bottom