KERO Sifieni mnavyoweza lakini huku Goba maji tunaletewa mara Moja kwa wiki tena usiku mnene

KERO Sifieni mnavyoweza lakini huku Goba maji tunaletewa mara Moja kwa wiki tena usiku mnene

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.

Wananchi wamekata tamaa.
Miji yote shida tupu
 
Bwawa la Mwl Nyerere maji wanayaachia, yafue umeme na yatumike kwa mahitaji ya kibinadamu badala ya kuyaacha yaende baharini
 
Embu ngoja nifuatilie jambo hilo . Kwa hiyo kuweni na subira wakati huu nikifuatilia jambo hilo kutafuta majawabu.
Mimi tunaweza kuwa tunatofautiana itikadi za kimawazo ila niseme ukweli kuwa your EIQ is super🔥🔥.Yawezekana wewe ndio mtu unachokozwa na kubagazwa sana humu JF😀😀😀

📌Unafeli tu hapo kwenye kusifia kila kitu ndugu Mtanzania😀
 
Ndo kwanza waziri kasifiwa huko kwa kazi nzuri.
 
Hayo ndiyo maendeleo, simliambiwa wapinzani wanawachelewesha na mkadema ndioooooooo!
 
Back
Top Bottom