The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
DAWASA na mh aweso wana habari hii?!Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.
Wananchi wamekata tamaa.
Mbunge wetu Jumanne MtemvuMbunge wenu ni Mnyika? 🐼
Jumanne Mtevu wa C.C.MMbunge anaitwa Nani?
Msitughasi tuko busy na tamasha la kuwapa tuzo wakina Jotty, nyie msubirini kwanza. Shida zenu pelekeni kwa mwenyekiti wa mtaani kwenu.📌JIJI KUBWA/ KITOVU CHA NCHI /SURA YA NCHI/ RECEPTION YA NCHI.SWALA LA MAJI NI DASLAM YOTE HAMNA MAJI KARIBU VITONGOJI VYOTE🥱🥱🥱
KWAKO CHAWA WA KIMATAIFA COMRADE Lucas Mwashambwa tububujishe kwa machozi na gazeti refu!!!
Embu ngoja nifuatilie jambo hilo . Kwa hiyo kuweni na subira wakati huu nikifuatilia jambo hilo kutafuta majawabu.📌JIJI KUBWA/ KITOVU CHA NCHI /SURA YA NCHI/ RECEPTION YA NCHI.SWALA LA MAJI NI DASLAM YOTE HAMNA MAJI KARIBU VITONGOJI VYOTE🥱🥱🥱
KWAKO CHAWA WA KIMATAIFA COMRADE Lucas Mwashambwa tububujishe kwa machozi na gazeti refu!!!
Hatuhitaji tahadhari tunahitaji maji serikali inakusanya kodi ili itoe huduma za raia wake kwa ukamilifu.Hiki ni kipindi Cha ukame.
DAWASA nao wanazingua, walipaswa kuwapa tahadhari wananchi kama TANESCO wanavyofanya.
yaani ukiyakosa jumatano mpaka jumatano nyingineNawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.
Wananchi wamekata tamaa.
Koo walioko kati ya mji ni kina nani na ukiwa nje ya mji hauwi mlipa kodi?mpo nnje yamji hatuwezi kuwasaidia vimilieni
Wala sio kwamba unaenda kufuatilia unajua sana kwamba hakuna mipango kabambe kwenye hili tatizoEmbu ngoja nifuatilie jambo hilo . Kwa hiyo kuweni na subira wakati huu nikifuatilia jambo hilo kutafuta majawabu.
Kwani Goba kuna watu wanaishi hukoNawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.
Wananchi wamekata tamaa.
We unaishi wapiKwani Goba kuna watu wanaishi huko
Ndio nasikia leo kwako