Ya kununua marefa na kuhonga hela 😂 ila kimataifa aaaah ni makundi tu 😂 😂
Mo dewji ni mdhamini tu hahusiki na simba sc sema mpunguze kuhonga mnaharibu ligi ndio maana kimataifa ham fikiria popote na hamtafiki popoteHii yanga inamnunua Hadi mi dewij na timu yake viopigo vi Tano mtawalia ni noma GSM aachie timu anaharibu l
igi
Kutoka kuwa nafasi ya 75 hadi nafasi ya 12, akiachwa na Simba kwa nafasi moja pekee. Unasemaje kimataifa hawafiki popote?Mo dewji ni mdhamini tu hahusiki na simba sc sema mpunguze kuhonga mnaharibu ligi ndio maana kimataifa ham fikiria popote na hamtafiki popote