Sigara kanisani!

Sigara kanisani!

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
278
Ebwana nilikuwa kanisani jamaa mmoja akaingia na Sigara! Dah nilishtuka kweli ilibakia kidogo tuu nidondoshe bia yangu!
 
Hiyo ni moja ya haki ya msingi ya binadamu ya kufanya kitu chochote wakati wowote ili mradi huvunji sheria zilizowekwa e.g alama ya no smoking!
 
Mh mama! Kwa hiyo kama hakuna bango la 'no smoking' hakuna shida?
 
No problem iwapo uko kwenye nchi huru ya kidemokrasia inayoheshimu haki za binadamu.

Do Tanzania fits there? Kwamba ni nchi huru ya kidemokrasia inayoheshimu haki za binaadam?
 
acha kudata.....

Na wewe siku hizi umejiunga na dawati la mamods? Dah ndo maana ...!!

Kumbuka huu ni ukumbi wa kuondoa stress na si vinginevyo..kama upo kubishana hapa si pahala pake..
 
Dah,ukumbi mzuri huu......
 
Inawezekana na wewe unahitaji tiba ...teh teh teh

Haya weye mwene akili zilizo salama, nambie ni nini hapa chenye kuchekesha?

Ebwana nilikuwa kanisani jamaa mmoja akaingia na Sigara! Dah nilishtuka kweli ilibakia kidogo tuu nidondoshe bia yangu!

Hata mtoto wa chekechea ataona hamna la kuchekesha..
 
Back
Top Bottom