Sigara kanisani!

Sigara kanisani!

Si vibaya kuandika hivi...yawezekana una matatizo ya akili, who knows?

Dogo, unajua hiii scren-name ina philosophy behind it ..Ungeijua ungalitamani kuvunja screen ya Pentium I yako....

Just watch and learn..usipige mayowe ukaamsha majirani kisa umeona sisimizi..

Endelea..
 
Ebwana nilikuwa kanisani jamaa mmoja akaingia na Sigara! Dah nilishtuka kweli ilibakia kidogo tuu nidondoshe bia yangu!

Mipombe mingine na hasa ya kienyeji hukufanya ujisikie kama uko mahala pazuri hapa duniani hata kama mnakunywa kwa kupokezana.

Pole kwa kunywa pombe za kinyeji ktk chupa ya bia. Unakunywa mnazi na kujiona uko kanisani kumbe uko kwenye kilabu ya pombe haramu (gongo).
 
Inawezekana na wewe unahitaji tiba ...teh teh teh

Acha pombe zako utapona, naona una hangover ya gongo. Sichelewi kukufananisha na jamaa wa mambangi wanaovuta na kujihisi wako Ulaya. Umelewa chakari kwa gongo halafu akili inakupeleka kanisani unadhani umefika kumbe bado uko kwa mama K ukigida gongo.

Katubu na uache mipombe yako utakuwa salama.
 
Samahani kuna habari nilizipata jana kuwa usiku wa kuamkia 30/11/2008 kuwa askari wa mkoa wa ARUSHA walivamia makanisa mawili ya kijiji cha unga LTD likiwemo kanisa la MWIZARUB na kuwapiga sachi waomini waliokuwa mkesha. wakafanikiwa kuwakamata watu wachache wanaomiliki silaha kinyume cha sheria. ila sina uhakika na habari hii. Naomba kama kuna mtu anazifaham vizuri atufafanulie hapa wana jamii tufaham
 
Back
Top Bottom