Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje?

Pridah

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
1,495
Reaction score
3,453
Hi.

Kwa mtakaoniona mjinga mnisamehe bure. Nimegugo ila sijaelewa vizuri.

Naomba kueleweshwa yafuatayo:

1)Name in print inaandikwaje?

2)Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje?

Natanguliza shukrani๐Ÿ™๐Ÿ™
 
1. Jina kwa herufi kubwa

2. Kuna namna ya kuweka signature kwenye soft copy ila kama huna hiyo namna usijali, just weka jina lako tu
 
1. Write your name it clear and readable form, possibly in capital letters
2. !!!!???? sijaelewa. Una maana kuwa una soft copy form inayotakiwa uweke signature yako, na unataka kujua namna ya kuweka? Kama ni hivyo inategema hiyo soft copy form ni ya namna gani eg PDF, MS word etc..
 
Nashauri kasifutwe ili kaje kamsaidie na mwingine..
 
Iko in pdf form
 
Iko in pdf form
Basi ni rahisi tu. Kma una PC kuna online PDF editors za bure nyingi sana. Wewe Google ''online PDF editor'' utakutana na websites nyingi tu. Utatakiwa ku-upload form yako, utaandika jina lako sehemu inayotakiwa (tumia fonts za mcharazo) halafu uta-save na ku-download.
 
  1. Ni jina lako tu neno print lisikuchanganye.
  2. Adobe in tab ya Sign unaweza open na kusign ila nahisi ni ya kulipia, alternative sign online au andika tu jina lako pia.
 
Okay thanks
 
JF inabidi tupeni basi option ya kufuta thread zetu?

Anywayz wakuu asanteni.
Nishajaza na ku send back ki form changu.
๐Ÿ™๐Ÿ™
 
weka tu jina lako au initials mfano
mimi naitwa Amehlo Spero ntaweka (A.Spero)

kama wanataka signature ya mkono fanya hivi
Sign signature yako kwenye karatasi then scan ile karatasi ukimaliza ukifungua hiyo karatas hapo ulipo sign ukipabonyeza utaweza kucopy kisha ukapaste kwenye document yako ambayo unataka sign ikae

Sijui kuelekeza nimejaribu hope umeelewa
 
asante dear ๐Ÿ™
 
kama nimekuelewa vizuri,niliwahi kuwa na laptop ina option ya screen touch na ilikuwa na kalamu kabisa,ilikuwa unaenda kwenye document husika,una edit alafu unaweka option ya kalamu,unasaini kwa peni kwenye screen ya laptop.
Hi.

Kwa mtakaoniona mjinga mnisamehe bure. Nimegugo ila sijaelewa vizuri.

Naomba kueleweshwa yafuatayo:

1)Name in print inaandikwaje?

2)Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje?

Natanguliza shukrani๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ