Sigrada Mligo: Wabunge tunalipwa hela ya mafuta kulingana na bei iliyoko sokoni siku hiyo ndio maana wabunge hawajadili kupanda kwa mafuta

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Maneno anayosema Mbunge wa Viti Maalumu, Sigrada Mligo, kwenye video kwa maandishi

Sigrada- "Mmeona wabunge huko wana wanakutana wanajadili mafuta? Yaani wako siriasi kuwasemea wananchi kuhusu mafuta? Bunge siriasi linatakiwa lisimamishe ratiba zote lijadili jambo la dharura la mafuta kwa sababu linagusa kila mwananchi. Hawawezi kujadili mafuta kwa sababu wao wanalipwa—yaani sisi siyo wao—sisi tunalipwa kwa bei iliyoko sokoni. Umenielewa?

Yaani mafuta yakipanda, na mimi bajeti yangu ya mafuta wanapandisha hivyo hivyo. Kwa hiyo, ni kama kupanda kwa mafuta hakumgusi mbunge. Kama wewe unaenda kilomita 300 uko kwenye jimbo lako, unalipwa kutokana na hizo kilomita 300 kwa bei iliyoko sokoni siku hiyo."

Pia soma: Heche: Nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano, ninajua utaratibu wa uagizaji mafuta
 
Hata yeye anajua kwamba hakuna mbunge ambaye yuko Bungeni kwa ridhaa ya wananchi. Utamsemeaje mtu ambaye hajakutuma kumsemea?
 
Sigrida anakuwa kama anawavua nguo wenzake,sasa huyu ni pandikizi kwa namna gani?,kama inavyodaiwa na wale!, bint harembi rembi huyu...ameonyooka chungu chungu tu.....
Chaumma imezidi kupata wanachama wengi na kujizolea umaarufu kwa misimamo yake thabiti.
 
Maneno anayosema Mbunge wa Viti Maalumu, Sigrada Mligo, kwenye video kwa maandishi

Sigrada- "Mmeona wabunge huko wana wanakutana wanajadili mafuta? Yaani wako siriasi kuwasemea wananchi kuhusu mafuta? Bunge siriasi linatakiwa lisimamishe ratiba zote lijadili jambo la dharura la mafuta kwa sababu linagusa kila mwananchi. Hawawezi kujadili mafuta kwa sababu wao wanalipwa—yaani sisi siyo wao—sisi tunalipwa kwa bei iliyoko sokoni. Umenielewa?

Yaani mafuta yakipanda, na mimi bajeti yangu ya mafuta wanapandisha hivyo hivyo. Kwa hiyo, ni kama kupanda kwa mafuta hakumgusi mbunge. Kama wewe unaenda kilomita 300 uko kwenye jimbo lako, unalipwa kutokana na hizo kilomita 300 kwa bei iliyoko sokoni siku hiyo."

Pia soma: Heche: Nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano, ninajua utaratibu wa uagizaji mafuta
huyu dada nimempenda bure. anatema facts sana
 
Sigrida anakuwa kama anawavua nguo wenzake,sasa huyu ni pandikizi kwa namna gani?,kama inavyodaiwa na wale!, bint harembi rembi huyu...ameonyooka chungu chungu tu.....
Chaumma imezidi kupata wanachama wengi na kujizolea umaarufu kwa misimamo yake thabiti.
Zaidi ya Sigrada nani mwingine?
 
Back
Top Bottom