Sigrada: Serikali iliyopo madarakani bado ina akili mgando, inaogopa Upinzani

Sigrada: Serikali iliyopo madarakani bado ina akili mgando, inaogopa Upinzani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amesema serikali iliyopo madarakani kuwa na akili mgando kutokana na kukaa madarakani kwa muda mrefu bila kuleta mabadiliko makubwa nchini.

Katika mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026 na Nijuze, Mligo ameeleza kuwa serikali kudhibiti sauti za vyama vya upinzani ambavyo vimekuwa vikijaribu kutoa mawazo mbadala kwa ajili ya maendeleo ya nchi ni uoga

 
Back
Top Bottom