Sigrada: Waziri Mkuu anaenda kusikiliza Walioachana na Waume zao kweli?, Tuwe Serious!

Sigrada: Waziri Mkuu anaenda kusikiliza Walioachana na Waume zao kweli?, Tuwe Serious!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Sigrada Wilhem Mligo, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Njombe kupitia CHAUMMA, amehoji bungeni nafasi ya viongozi wakuu kushughulikia masuala madogo ambayo yanaweza kutatuliwa na viongozi wa ngazi nyingine.

Akichangia bungeni, Sigrada amesema inashangaza kuona Waziri Mkuu akiacha majukumu makubwa ya kitaifa kama kujadili mikataba ya uwekezaji na kwenda vijijini kusikiliza migogoro ya kifamilia. “Tuwe serious Naibu Spika,” alisema.

Amesisitiza kuwa Waziri Mkuu ni kiongozi wa tatu nchini, hivyo mawaziri na manaibu wao wanapaswa kubeba majukumu ya kutatua changamoto za wananchi badala ya kila jambo kumfikia Waziri Mkuu.

 
Huyo nae kaacha kuiba mabwana za watu?
 
Back
Top Bottom