[emoji23][emoji23][emoji23] aisee unafurahisha unasema pasi zao zilkua hazifiki goli afu baadae unasema mugali alikua yeye na goli. Mzee baba tuache uongo hii timu itafanya vizuri amini hivyo basiHamfiki, trust it
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee unafurahisha unasema pasi zao zilkua hazifiki goli afu baadae unasema mugali alikua yeye na goli. Mzee baba tuache uongo hii timu itafanya vizuri amini hivyo basi
Mnasemaga hivi hiviNinaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama kawaida, ni kupigiana pigiana mapasi ambayo hayafiki Robo tatu ya uwanja, ni ma pass plus plus amabayo yanachezwa kuanzia katikati ya uwanja kurudi golini kwao. Je mpira ni possession au Matokeo.?
Kikosi cha kwanza kilijitahidi ingawa hakukuwa na stricter sababishi. Baada ya hapo, kila sub iliyofanyika ilienda kubomoa kabisa chemistry ya kikosi cha kwanza na goli likapatikana.
Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, one clear Chance unatakiwa kumuadhibu kipa. Mugalu na Kibu walikuwa na clear chance na hawakuweza kuleta Matokeo.useless
Kikosi kilishabomolewa, tujiandae kwa lolote na tusiwe na expectation zozote kwenye klabu Bingwa Africa mwaka huu.
Simba ya sasa haina Chemistry wala wachezaji watakaoweza kuipeleka timu robo fainali. Nina wasiwasi sana yatatokea ya Ud Songo huku tukiwa wazuri wa kumiliki mpira kwa nyuma.
Tatizo kubwa sajili za Mo ni sajili za kimasikini na zisizo na tija; unaenda kusajili kipa wa 5, halafu unasahau striker zenye akili. Msione Ahly inachukua makombe mkadhani ni uchawi.
Hakuna uchawi kwa mpira, ni Investment.
Simba Out
Unakandya anayesaji kwamba ni za kimaskini wakati ni hizohizo took us far last seasonNinaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama kawaida, ni kupigiana pigiana mapasi ambayo hayafiki Robo tatu ya uwanja, ni ma pass plus plus amabayo yanachezwa kuanzia katikati ya uwanja kurudi golini kwao. Je mpira ni possession au Matokeo.?
Kikosi cha kwanza kilijitahidi ingawa hakukuwa na stricter sababishi. Baada ya hapo, kila sub iliyofanyika ilienda kubomoa kabisa chemistry ya kikosi cha kwanza na goli likapatikana.
Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, one clear Chance unatakiwa kumuadhibu kipa. Mugalu na Kibu walikuwa na clear chance na hawakuweza kuleta Matokeo.useless
Kikosi kilishabomolewa, tujiandae kwa lolote na tusiwe na expectation zozote kwenye klabu Bingwa Africa mwaka huu.
Simba ya sasa haina Chemistry wala wachezaji watakaoweza kuipeleka timu robo fainali. Nina wasiwasi sana yatatokea ya Ud Songo huku tukiwa wazuri wa kumiliki mpira kwa nyuma.
Tatizo kubwa sajili za Mo ni sajili za kimasikini na zisizo na tija; unaenda kusajili kipa wa 5, halafu unasahau striker zenye akili. Msione Ahly inachukua makombe mkadhani ni uchawi.
Hakuna uchawi kwa mpira, ni Investment.
Simba Out
Ile ni.mechi ya kirafiki ambayo huwezi kujua mipango ya kocha ukihusisha na mechi inayokuja mbele yao kesho kutwa tarehe 25 huwezi jua mwalimu alikua anaangali nini na kutunza wachezaji wake vipi kwaajili ya tarehe 25. Mpira ni sayansi na mipango70% ya pass zao ni plus plus. So 30% ndio wakibahatika kufika and still they can’t get it.
Ni namna jinsi unaelewa mambo ,
Mtu wa simba hawez kuandika haya ya mihemko na hisia hasi
Hii haipunguzi machungu ya kutolewa African champion league,, nilichokiona kwenye hili gazeti lako ni wivu,chuki, umasikini na roho mbayaNinaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama kawaida, ni kupigiana pigiana mapasi ambayo hayafiki Robo tatu ya uwanja, ni ma pass plus plus amabayo yanachezwa kuanzia katikati ya uwanja kurudi golini kwao. Je mpira ni possession au Matokeo.?
Kikosi cha kwanza kilijitahidi ingawa hakukuwa na stricter sababishi. Baada ya hapo, kila sub iliyofanyika ilienda kubomoa kabisa chemistry ya kikosi cha kwanza na goli likapatikana.
Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, one clear Chance unatakiwa kumuadhibu kipa. Mugalu na Kibu walikuwa na clear chance na hawakuweza kuleta Matokeo.useless
Kikosi kilishabomolewa, tujiandae kwa lolote na tusiwe na expectation zozote kwenye klabu Bingwa Africa mwaka huu.
Simba ya sasa haina Chemistry wala wachezaji watakaoweza kuipeleka timu robo fainali. Nina wasiwasi sana yatatokea ya Ud Songo huku tukiwa wazuri wa kumiliki mpira kwa nyuma.
Tatizo kubwa sajili za Mo ni sajili za kimasikini na zisizo na tija; unaenda kusajili kipa wa 5, halafu unasahau striker zenye akili. Msione Ahly inachukua makombe mkadhani ni uchawi.
Hakuna uchawi kwa mpira, ni Investment.
Simba Out
Umeandika habari iliyo egemea kukatisha tamaa kwa kitu ambacho.bado haujakiona vzr. Ushindani ukianza tutajua na muda ni hakimu mzuri tujipe mudaKwanini
Ni lini mliwah sema Simba itafika mbali?Haitofika mbali , amini hivo.
Kwani ilipofika robo fainali mara 2 ulianza kuiona? Wewe siyo Mungu tuombe uhai maneno yako siyo sheriaNinaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama kawaida, ni kupigiana pigiana mapasi ambayo hayafiki Robo tatu ya uwanja, ni ma pass plus plus amabayo yanachezwa kuanzia katikati ya uwanja kurudi golini kwao. Je mpira ni possession au Matokeo.?
Kikosi cha kwanza kilijitahidi ingawa hakukuwa na stricter sababishi. Baada ya hapo, kila sub iliyofanyika ilienda kubomoa kabisa chemistry ya kikosi cha kwanza na goli likapatikana.
Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, one clear Chance unatakiwa kumuadhibu kipa. Mugalu na Kibu walikuwa na clear chance na hawakuweza kuleta Matokeo.useless
Kikosi kilishabomolewa, tujiandae kwa lolote na tusiwe na expectation zozote kwenye klabu Bingwa Africa mwaka huu.
Simba ya sasa haina Chemistry wala wachezaji watakaoweza kuipeleka timu robo fainali. Nina wasiwasi sana yatatokea ya Ud Songo huku tukiwa wazuri wa kumiliki mpira kwa nyuma.
Tatizo kubwa sajili za Mo ni sajili za kimasikini na zisizo na tija; unaenda kusajili kipa wa 5, halafu unasahau striker zenye akili. Msione Ahly inachukua makombe mkadhani ni uchawi.
Hakuna uchawi kwa mpira, ni Investment.
Simba Out
Nitajie tabia 5 za UTOPOLO.Kwa nini unadhani Mimi UTOPOLO. Kwanini ?