Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mbona icho kikosi chako ni kikosi kipana sana tena cha kucheza cafcl sio na hawa utopolo.JUST IMAGINE TAR 25/9/2021
MANULA
KAPOMBE +HUSSEIN + WAWA+ONYANGO
LWANGA + KANOUTE
BANDA+ BWALYA + SAKHO
BOCCO
( 4-2-3-1)
nature ya mpira wa simba ni pass na possession ya mpira.Ninaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama kawaida, ni kupigiana pigiana mapasi ambayo hayafiki Robo tatu ya uwanja, ni ma pass plus plus amabayo yanachezwa kuanzia katikati ya uwanja kurudi golini kwao. Je mpira ni possession au Matokeo.?
Kikosi cha kwanza kilijitahidi ingawa hakukuwa na stricter sababishi. Baada ya hapo, kila sub iliyofanyika ilienda kubomoa kabisa chemistry ya kikosi cha kwanza na goli likapatikana.
Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, one clear Chance unatakiwa kumuadhibu kipa. Mugalu na Kibu walikuwa na clear chance na hawakuweza kuleta Matokeo.useless
Kikosi kilishabomolewa, tujiandae kwa lolote na tusiwe na expectation zozote kwenye klabu Bingwa Africa mwaka huu.
Simba ya sasa haina Chemistry wala wachezaji watakaoweza kuipeleka timu robo fainali. Nina wasiwasi sana yatatokea ya Ud Songo huku tukiwa wazuri wa kumiliki mpira kwa nyuma.
Tatizo kubwa sajili za Mo ni sajili za kimasikini na zisizo na tija; unaenda kusajili kipa wa 5, halafu unasahau striker zenye akili. Msione Ahly inachukua makombe mkadhani ni uchawi.
Hakuna uchawi kwa mpira, ni Investment.
Simba Out
Kumbe wewe ni utopolo halisi, f^¢k ::Hamfiki, trust it
Mazembe walitengeneza clear chances ngapi ?Kuna wachezaji kama kina Luis wale walikiwa ni fighter na walikuwa na dream zao kichwani ndio maana walitaka kuonekana sana
Mtu kama Mugalu, Boko, Kagere wale wamesharidhika na mil 7 za MO. Hawana future yoyote . Mwaka huu kazi ipo
Yaani STRIKER wanacheza offside hatari . Mbona TP MAZEMBE hawakuwa na ofiside. Ni kwa sababu wanajua mpira
Hajui mpira huyo utopoloMazembe walitengeneza clear chances ngapi ?
Unasema hawakuwa na offside unajua kwa nini hawakuwa na offside ?
Wanajifariji na kipigo cha NigeriaHajui mpira huyo utopolo
Ww ni utopolo mkuuNinaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama kawaida, ni kupigiana pigiana mapasi ambayo hayafiki Robo tatu ya uwanja, ni ma pass plus plus amabayo yanachezwa kuanzia katikati ya uwanja kurudi golini kwao. Je mpira ni possession au Matokeo.?
Kikosi cha kwanza kilijitahidi ingawa hakukuwa na stricter sababishi. Baada ya hapo, kila sub iliyofanyika ilienda kubomoa kabisa chemistry ya kikosi cha kwanza na goli likapatikana.
Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, one clear Chance unatakiwa kumuadhibu kipa. Mugalu na Kibu walikuwa na clear chance na hawakuweza kuleta Matokeo.useless
Kikosi kilishabomolewa, tujiandae kwa lolote na tusiwe na expectation zozote kwenye klabu Bingwa Africa mwaka huu.
Simba ya sasa haina Chemistry wala wachezaji watakaoweza kuipeleka timu robo fainali. Nina wasiwasi sana yatatokea ya Ud Songo huku tukiwa wazuri wa kumiliki mpira kwa nyuma.
Tatizo kubwa sajili za Mo ni sajili za kimasikini na zisizo na tija; unaenda kusajili kipa wa 5, halafu unasahau striker zenye akili. Msione Ahly inachukua makombe mkadhani ni uchawi.
Hakuna uchawi kwa mpira, ni Investment.
Simba Out
Useme ni nani ambaye unamuona ni bora kuliko simba. Sio unaacha tu hoja hewaniHata VPL mwaka huu,simba kuchukua ubingwa itakuwa ni Bahati.
Wakifika Robo utasikia hawafiki nusu ,wakifika nusu utasikia hawafiki fainaliHamfiki, trust it
1.KulalamikaNitajie tabia 5 za UTOPOLO.
Ukweli mtupu.Kwa kuthibitisha hilo jumamosi Simba wanakula kipigo kitakatifu bila hurumaNinaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama kawaida, ni kupigiana pigiana mapasi ambayo hayafiki Robo tatu ya uwanja, ni ma pass plus plus amabayo yanachezwa kuanzia katikati ya uwanja kurudi golini kwao. Je mpira ni possession au Matokeo.?
Kikosi cha kwanza kilijitahidi ingawa hakukuwa na stricter sababishi. Baada ya hapo, kila sub iliyofanyika ilienda kubomoa kabisa chemistry ya kikosi cha kwanza na goli likapatikana.
Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, one clear Chance unatakiwa kumuadhibu kipa. Mugalu na Kibu walikuwa na clear chance na hawakuweza kuleta Matokeo.useless
Kikosi kilishabomolewa, tujiandae kwa lolote na tusiwe na expectation zozote kwenye klabu Bingwa Africa mwaka huu.
Simba ya sasa haina Chemistry wala wachezaji watakaoweza kuipeleka timu robo fainali. Nina wasiwasi sana yatatokea ya Ud Songo huku tukiwa wazuri wa kumiliki mpira kwa nyuma.
Tatizo kubwa sajili za Mo ni sajili za kimasikini na zisizo na tija; unaenda kusajili kipa wa 5, halafu unasahau striker zenye akili. Msione Ahly inachukua makombe mkadhani ni uchawi.
Hakuna uchawi kwa mpira, ni Investment.
Simba Out
Umesahau Tabia nyingine ambayo ni kubwa kuliko zote .Na.6 . Mazoea ya kumfunga Simba S Club1.Kulalamika
2.Wachawi
3.Wivu
4.Hawana shukrani
5.Kuropoka na kuongea bila mantiki
Na nyingine hii umesahau,awana uvumilivu wanatakaga mafanikio ya haraka bila kuwekeza.1.Kulalamika
2.Wachawi
3.Wivu
4.Hawana shukrani
5.Kuropoka na kuongea bila mantiki
He makambo ilikuwaje horoyaNasikia Okwi anataka kusajiliwa despite kuwa humo Misri alikuwa na goli moja tu msimu wote lol [emoji13]
Makambo alisugua bench mwanzo mwisho hadi makalio yakaota sigdaHe makambo ilikuwaje horoya