Siioni Simba SC Kwenye Robo Fainali CAF

Uzi wako umekaa kinazi sana,by the way waachie wenye Simba yao,nyie mmeshatolewa kazi iliyobaki kwenu sasa hivi ni kupokea timu ngeni ambazo zitakuja kucheza na Simba Nalog off!
Huyo ni DM
Yaani Mpiga Debe [emoji86]
 
Ile ni.mechi ya kirafiki ambayo huwezi kujua mipango ya kocha ukihusisha na mechi inayokuja mbele yao kesho kutwa tarehe 25 huwezi jua mwalimu alikua anaangali nini na kutunza wachezaji wake vipi kwaajili ya tarehe 25. Mpira ni sayansi na mipango
Wanatimua kocha
 



Mnapata wapi ujasiri wa kuisema Simba,ningekuwa Mimi Shabiki wa Yanga,kwa sasa ningekuwa naugulia maumivu ya kutolewa hatua ya kindergaten CL.
 
Hata Mimi pia kwa jinsi Ligi Kuu ya Msimu huu ( 2021 / 2022 ) itakavyokuwa kutokana na Udhamini mnono siioni Yanga SC ikiwa hata katika Sita Bora ( Top Six ) ila katika Kushuka Daraja au kucheza Play Off naiona.
 
Utopolo mnateseka sana
 
... Kifupi mpaka sasa SSC haina mtu anaeweza kufunga magoli, na bado haina stricter ya maana. Yaani stricter zilizokuwepo ni zile ambazo haziwezi kuleta matokeo, ...
Sawa mchambuzi wa soka
 
Simba iko vizuri sana kwenye kiungo cha chini, beki na golkeeper lakni kiungo cha mbele na foward kweli bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…