Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana!
Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 .
Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba (mf. Aziza key, Joice, Biringanya n.k). Kwa makundi wanashindwa kutoa bonus kwa timu, Aziza ki anakunja 20+ mil. kwa mwezi. Usajili tu 400+ mil. yote kuikomoa Simba!
Karibuni wataanza kutembeza bakuli!