Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Tarehe 23 inakaribia. Tutawafunga tu hii midomo yenu! Hata kwa super glue, potelea mbali.Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana!
Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 .
Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba (mf. Aziza key, Joice, Biringanya n.k). Kwa makundi wanashindwa kutoa bonus kwa timu, Aziza ki anakunja 20+ mil. kwa mwezi. Usajili tu 400+ mil. yote kuikomoa Simba!
Karibuni wataanza kutembeza bakuli!
Tarehe 23 inakaribia. Tutawafunga tu hii midomo yenu! Hata kwa super glue, potelea mbali.
Wanajifariji tar 23 tutawapiga Kam ngomaTarehe 23 inakaribia. Tutawafunga tu hii midomo yenu! Hata kwa super glue, potelea mbali.
Acha ubwege wewe nyani. Yanga tunasajili kwa mahitaji yetu. Tunamkomoaje Simba? Huo udwanzi peleka huko huko.Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana!
Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 .
Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba (mf. Aziza key, Joice, Biringanya n.k). Kwa makundi wanashindwa kutoa bonus kwa timu, Aziza ki anakunja 20+ mil. kwa mwezi. Usajili tu 400+ mil. yote kuikomoa Simba!
Karibuni wataanza kutembeza bakuli!
Mtapanick sana week hii ,tar 23 tunapiga kweny mshonoAcha ubwege wewe nyani. Yanga tunasajili kwa mahitaji yetu. Tunamkomoaje Simba? Huo udwanzi peleka huko huko.
SIMBA AKIMFUNGA YANGA NIPIGWE BAN YA MWEZI MZIMA. SIMBA NI VIBONDE WETU WA KUDUMU KUANZIA MSIMU ULIOPITA. CHUKUA HII. HAITATOKEA SIMBA KUMFUNGA YANGA. NARUDIA HAITOKEI.Mtapanick sana week hii ,tar 23 tunapiga kweny mshono
Huu ni ukweli sema wana utopolo watapingaUkitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana!
Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 .
Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba (mf. Aziza key, Joice, Biringanya n.k). Kwa makundi wanashindwa kutoa bonus kwa timu, Aziza ki anakunja 20+ mil. kwa mwezi. Usajili tu 400+ mil. yote kuikomoa Simba!
Karibuni wataanza kutembeza bakuli!
Tatzo hamtak kuambiwa ukweli , point yangu iko CAF CHAMPION LEAGUE hamna timu imara ,uto😅😅SIMBA AKIMFUNGA YANGA NIPIGWE BAN YA MWEZI MZIMA. SIMBA NI VIBONDE WETU WA KUDUMU KUANZIA MSIMU ULIOPITA. CHUKUA HII. HAITATOKEA SIMBA KUMFUNGA YANGA. NARUDIA HAITOKEI.