Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Umeshawahi kujiuliza kwanini diamond
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Umeshawahi kujiuliza kwanini diamond kwanini kakaa kimya kwenye hili?
kwanini kakaa kimya kwenye hilka

Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Umeshawahi kujiuliza kwanini diamond kwanini kakaa kimya kwenye hili?
Wewe ndo IQ ndogo sana,kukaa kimya ni jibu pia.
Na walokaa kimya ni yeye tu,acheni upumbavu mnafikiri nyinyi nyumbu ndo sababu ya yeye kufika hapo?
Subirini walopiga kelele wachaguliwe huko BET mkapige kura wapate tuzo.
Wajinga sana nyie,mnataka uhuru lakini hamtaki uhuru wa wengine,visasi vimetawala mioyo yenu tu
 
Sababu ni mondi tu angekua Alikiba au makonde watu wasingetoka mapovu. Maana kila mtu analinda ugali wake tukirudi nyuma ni wasanii wangapi walikemea chochote mbona kelele nyingi ni wcb. Issue kubwa ni diamond sio kisa alisupport ccm. Kuna muda unaamini kumbe siasa inaweza mfanya mtu achizike. Kigogo na wenzie wanajikuta miungu watu mfyuuuuu.
Mambo mengine yanachekesha Sana mwaka jana wasanii almost wote walimpigia kampeni Magufuli almost wote kabisaaa na Mmakonde ndiye alikuwa mtu wa kwanza kabisa kuachia song la Magufuli akifuatiwa na nandy.
 
Ndio hivyo wengine hawaonekani ni diamond tu
 
Subirini uchaguzi wa 25 tuwanyooshe hili litafufuliwa kama walivyolifufua wao
 
Mambo mengine yanachekesha Sana mwaka jana wasanii almost wote walimpigia kampeni Magufuli almost wote kabisaaa na Mmakonde ndiye alikuwa mtu wa kwanza kabisa kuachia song la Magufuli akifuatiwa na nandy.
Wale walikuwa ni kenge kwenye msafara wa mamba
 
Wewe ndo IQ ndogo sana,kukaa kimya ni jibu pia.
Na walokaa kimya ni yeye tu,acheni upumbavu mnafikiri nyinyi nyumbu ndo sababu ya yeye kufika hapo?
Subirini walopiga kelele wachaguliwe huko BET mkapige kura wapate tuzo.
Wajinga sana nyie,mnataka uhuru lakini hamtaki uhuru wa wengine,visasi vimetawala mioyo yenu tu
Hujaniumba wewe huwezi kuniita nyumbu pumbavu zako
 
All in all nafuu niwapigie wa Naijja kwa kuwa unapigia kitu original. Kumpigia kura Diamond anayekopi mahadhi za wa Naijja ni kupigia photocopy.

Manyimbo yenyewe hayana ujumbe zaidi ya matusi ya kungonoka tu.

#Go Wizkid, Go Burnaboy
hzo ni akil za kushikiwa na kigogo na lissu tu.Hakuna jipya chin ya jua.Hata hao wanaija wanacopy mziki wa marekan tu.#Go diamond go go
jealous people never win
 
Sababu ni mondi tu angekua Alikiba au makonde watu wasingetoka mapovu. Maana kila mtu analinda ugali wake tukirudi nyuma ni wasanii wangapi walikemea chochote mbona kelele nyingi ni wcb. Issue kubwa ni diamond sio kisa alisupport ccm. Kuna muda unaamini kumbe siasa inaweza mfanya mtu achizike. Kigogo na wenzie wanajikuta miungu watu mfyuuuuu.
Kinachowasumbua kigogo na lissu sio kitu kingne.Bali ni wivu wa mafanikio ya diamond.Ninachowaomba kigogo na lissu wafanyekaz kwa bidii mafanikio watayakuta mbelen
 
Tz bana mtu akiwa na ugomvi binafsi na mwenzake anataka nawewe ushiriki kwenye huo ugomvi kwa kuchagua upande[emoji23][emoji23][emoji23].....
Hata mimi mtu aliyekuwa na urafiki na mwendakuzimu sina urafiki nae
 
hzo ni akil za kushikiwa na kigogo na lissu tu.Hakuna jipya chin ya jua.Hata hao wanaija wanacopy mziki wa marekan tu.#Go diamond go go
jealous people never win
Wewe ndiyo hujui muziki. Wanaigeria tunafahamu intonation yao na English yao ni pidgin na hiyo ndiyo inawatambulisha kuwa wao ni Nigerians
 
wewe mziki uliujulia wap?Niambie mziki wa south africa ndio unajitegemea.Lakn muziki wa nigeria wameiga mziki wa marekan
 
Back
Top Bottom