fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Umeshawahi kujiuliza kwanini diamond
kwanini kakaa kimya kwenye hilkaNdio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Umeshawahi kujiuliza kwanini diamond kwanini kakaa kimya kwenye hili?
Wewe ndo IQ ndogo sana,kukaa kimya ni jibu pia.Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Umeshawahi kujiuliza kwanini diamond kwanini kakaa kimya kwenye hili?
Na walokaa kimya ni yeye tu,acheni upumbavu mnafikiri nyinyi nyumbu ndo sababu ya yeye kufika hapo?
Subirini walopiga kelele wachaguliwe huko BET mkapige kura wapate tuzo.
Wajinga sana nyie,mnataka uhuru lakini hamtaki uhuru wa wengine,visasi vimetawala mioyo yenu tu