Siipendi fani ninayosoma...... Ni kwa sababu ya umasikini wangu.....!

yamoyoni mwangu

Senior Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
106
Reaction score
31
Ndugu wana jukwaa........!

Awali ya yote nipende kumshukru mungu kwa kuni kutanisha na watanzania wenzangu mda na wakati kama huu..... hapa chuoni ninapo soma kuna coz moja tu ya EDUCATION mimi binafsi sina wito wa ualimu hata kidogo, wakati TCU wanatoa selection nilijikuta nimepangwa hapa kwa coz ya BAED tena somo la history na kiswaz, binafsi si kwamba naidharau kazi hii bali mzee wangu alinisihi sana nijaze EDUCTION tuu, kwa kigezo cha kupata mkopo na uhakika wa ajira lakn banafsi sina wito hata kidogo katika fani hii.... kila siku najiulza hao wanafunzi nitakao wafundisha mm wataiga nini kutoka kwangu kama mwalimu...?

rafiki yangu, mmoja amenishauri nibadlishe masomo angalau nisome POLTICAL SIENCIES (ps) ili niwe mwalimu wa GS coz wanafunzi wengi hawaipendi hivyo haitakuwa na madhara kwa wanafunzi kitaaluma..... rafiki mwingine akanitonya kuwa coz yangu ina faida kwangu kwani baada ya kuhitimu ninaweza kusoma coz ninayoitaka.... ni wazo zuri lakni miaka mitatu 4 nothing.... nawaza sana nimegundua kama kuna watu mwengine mwenye tatizo kama langu hivi tutakuwa walimu gani tusio kuwa na wito ndugu zangu .....? hawa madogo watafeli ile mbayaa.... coz mimi binafsi sifikirii kusumbuka na mtoto wa mtu kabisa sina wito huo... MUNGU NISAMEHE.....
 
mmmmmh...! pole ndugu bt kama vipi we komaa tuu kuwa mwalimu kwani kiukweli nyie mna uhakika wa ajira
 
Mkuu naomba tubadilishane..njoo nikukabidhi kigenge changu alafu mimi nije kusomea huo UALIMU...Watu mnapata chance mnaleta mchezo....i wish ningekuwa mimi..God help me..
 
Unafkiri wote tuna wito tunatafuta ajira.... wako wenzako wa Sociology, Human Relation na Political Science walikuwa wanatucheka sasa wanafundisha kwa mshahara wa laki .... Ka huna connection ualimu ni fani ambayo haitaki godfather
 
Daa kama ni ajira poa ila kama ni wito mmh
 
Mkuu naomba tubadilishane..njoo nikukabidhi kigenge changu alafu mimi nije kusomea huo UALIMU...Watu mnapata chance mnaleta mchezo....i wish ningekuwa mimi..God help me..

Sio kwamba nauchukia ualimu but sina mzuka nao hata kidogo... ithink hata MR GOD analijua hlo....
 
Huu sio muda wa kulaumu kwani sehemu hiyo ndiyo inayokufaa,
Usidanganyike we kilichobaki ni kupambana.
 
kwa matamshi yako mungu amekusikia hivyo utadisko mda si mrefu halaf mwakani utaapply upya.....sisi tunakimbizana na watoto lakin mwisho wa mwezi uhakika japo si kingi sana,hapa nimetoka kuchek salio mweee akaunt imetuna Ahsante mungu,hata mitume wa mungu walikuwa ni walim je wangemwambia mungu hawana mzuka na watoto ingekuaje?...kama kwel huupendi ualimu uache tuone!
 
kwa matamshi yako mungu amekusikia hivyo utadisko mda si mrefu halaf mwakani utaapply upya.....sisi tunakimbizana na watoto lakin mwisho wa mwezi uhakika japo si kingi sana,hapa nimetoka kuchek salio mweee akaunt imetuna Ahsante mungu,hata mitume wa mungu walikuwa ni walim je wangemwambia mungu hawana mzuka na watoto ingekuaje?...kama kwel huupendi ualimu uache tuone!...baadae jaman mim week hii ni T.O.D. Naenda kuwaanda form four wana mitihan next week msiokuwa na mzuka na ualim endeleen hivohivo!.
 
Mkuu jaribu kumshukuru Mungu kwa kile ambacho amekujaalia kwa kuwa amewanyima wengi akakuteua wewe...si kwamba wewe ni genius sana kushinda wengine no!..bali amekuteua wewe , amekubariki wewe kati ya maelfu ya wanafunzi waliofeli , amekubaliki wewe kati ya maelfu ya wanafunzi waliokosa mikopo..hivi hujioni mwenye bahati kwa baraka hizi ulizobarikiwa?...hata sisi wengine hatukupenda kuishia njiani kuwa watu wa kubangaiza..hata hicho unachokiona kidogo wengine hatukujaaliwa kukipata..na hii ina maana..when you win something ,somebody loose something..so mkuu shika kile ambacho umejaaliwa kwa mikono mitatu, huku ukijua kuwa kuna wengine wamekikosa...hata hivyo kuwa mwalimu haimaanishi utakuwa teacher miaka yote...GOLDEN CHANCE NEVER COME TWICE.
 
Mkuu asipokuelewa hakuelewi tena!!!!!

Ni aina ya watu wasioridhika. Hajui kushukuru. Hatazami nyuma kuona alipotoka na kujua Mengine huwa nje ya
uwezo wetu!!!!! Wao ni kulalaika tu na kufuata hisia kuliko uhalisia!!!!!
 
Ndugu wana jukwaa........!

Awali ya yote nipende kumshukru mungu kwa kuni kutanisha na watanzania wenzangu mda na wakati kama huu..... hapa chuoni ninapo soma kuna coz moja tu ya EDUCATION mimi binafsi sina wito wa ualimu hata kidogo, wakati TCU wanatoa selection nilijikuta nimepangwa hapa kwa coz ya BAED tena somo la history na kiswaz, binafsi si kwamba naidharau kazi hii bali mzee wangu alinisihi sana nijaze EDUCTION tuu, kwa kigezo cha kupata mkopo na uhakika wa ajira lakn banafsi sina wito hata kidogo katika fani hii.... kila siku najiulza hao wanafunzi nitakao wafundisha mm wataiga nini kutoka kwangu kama mwalimu...?

rafiki yangu, mmoja amenishauri nibadlishe masomo angalau nisome POLTICAL SIENCIES (ps) ili niwe mwalimu wa GS coz wanafunzi wengi hawaipendi hivyo haitakuwa na madhara kwa wanafunzi kitaaluma..... rafiki mwingine akanitonya kuwa coz yangu ina faida kwangu kwani baada ya kuhitimu ninaweza kusoma coz ninayoitaka.... ni wazo zuri lakni miaka mitatu 4 nothing.... nawaza sana nimegundua kama kuna watu mwengine mwenye tatizo kama langu hivi tutakuwa walimu gani tusio kuwa na wito ndugu zangu .....? hawa madogo watafeli ile mbayaa.... coz mimi binafsi sifikirii kusumbuka na mtoto wa mtu kabisa sina wito huo... MUNGU NISAMEHE.....

Dogo acha ushamba,tena ungekuwa mdogo wangu ningekuzibua na mabao kabisa leo. Hapo ulipo uko mahali sahihi kabisa ila inaonekana bado hujajitambua kabisa hivyo nitashangaa sana kama ukifanikiwa!!Kwakuwa inaonekana familia unayotoka ni ya kitanzania hasa(duni) ushauri wangu kwako uko km huo aliokupa mzee wako,soma huo ualimu hata km huupendi then masters utaenda kusoma hicho unachokitaka ww ukitokea kazini km kweli utakuwa bado una "mzuka" nacho.Kuna rafiki yangu tulisoma nae chuo kikuu ila yy akawa anasoma ualimu,tena tulikuwa tunamcheka na kumuona kilaza,lkn sasa hv ninavyoandika hapa ana nyumba nzuri,mkoko wa maana na sasa hv yuko Harvard,anasoma PhD,tena joint program kati ya Harvard,Oxford na HK University.Ni mafanikio ambayo mm na kadegree kangu ka sheria sijawahi hata kuyaota.Inawezekana angekuja huku kwetu pengine hata nusu ya hapo alipofika asingepafikia.Kwahiyo mdogo wangu,kwa kuwa Mungu amekupeleka huko,elewa kwamba huko ndo kuna riziki yako,endelea kuitafuta kwa nguvu zako zote na akili zako zote mpaka uipate.Kuna uhusiano mdogo mno kati ya ulichosoma chuo kikuu na mafanikio ya kimaisha hasa ktk mazingira ya kiafrika
 
Hivi kwa akili yako hapa bongo Unafikir watu ambao wanafanya kazi wanazozipenda wangapi?

Nenda kaangalie mfano police,watu wameingia tu coz f lyf, na wengine wamesoma coz wanazozipenda bt kazi wanazofanya tofauti pamoja na huko kufundisha unakokataa! !!!
Ushauri wangu komaa tu hapo, coz sio lxma ufundishe huwezi jua Mungu ansmpango gani kupitia huo educ yako
 
Dogo acha ushamba,tena ungekuwa mdogo wangu ningekuzibua na mabao kabisa leo. Hapo ulipo uko mahali sahihi kabisa ila inaonekana bado hujajitambua kabisa hivyo nitashangaa sana kama ukifanikiwa!!Kwakuwa inaonekana familia unayotoka ni ya kitanzania hasa(duni) ushauri wangu kwako uko km huo aliokupa mzee wako,soma huo ualimu hata km huupendi then masters utaenda kusoma hicho unachokitaka ww ukitokea kazini km kweli utakuwa bado una "mzuka" nacho.Kuna rafiki yangu tulisoma nae chuo kikuu ila yy akawa anasoma ualimu,tena tulikuwa tunamcheka na kumuona kilaza,lkn sasa hv ninavyoandika hapa ana nyumba nzuri,mkoko wa maana na sasa hv yuko Harvard,anasoma PhD,tena joint program kati ya Harvard,Oxford na HK University.Ni mafanikio ambayo mm na kadegree kangu ka sheria sijawahi hata kuyaota.Inawezekana angekuja huku kwetu pengine hata nusu ya hapo alipofika asingepafikia.Kwahiyo mdogo wangu,kwa kuwa Mungu amekupeleka huko,elewa kwamba huko ndo kuna riziki yako,endelea kuitafuta kwa nguvu zako zote na akili zako zote mpaka uipate.Kuna uhusiano mdogo mno kati ya ulichosoma chuo kikuu na mafanikio ya kimaisha hasa ktk mazingira ya kiafrika
..nimemtukana tusi kubwa sana sababu ya ujinga wake..
 
Mkuu asipokuelewa hakuelewi tena!!!!!

Ni aina ya watu wasioridhika. Hajui kushukuru. Hatazami nyuma kuona alipotoka na kujua Mengine huwa nje ya
uwezo wetu!!!!! Wao ni kulalaika tu na kufuata hisia kuliko uhalisia!!!!!
Mimi namshauri arushe mwaka alafu aje site tubebe wote zege ili ajifunze maisha....mimi nikionaga mtu anakataa au anaibeza shule huwa namuonea huruma mpaka nalia....
 
We chukua gamba ilo, utakuwa unapiga dili zako huku mshahara unaingia.
Wenzako wanatembea duniani kwa kuwa wakalimani au kwenye ma historical sites we unaleta ubishoo!
 
Back
Top Bottom