yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Ndugu wana jukwaa........!
Awali ya yote nipende kumshukru mungu kwa kuni kutanisha na watanzania wenzangu mda na wakati kama huu..... hapa chuoni ninapo soma kuna coz moja tu ya EDUCATION mimi binafsi sina wito wa ualimu hata kidogo, wakati TCU wanatoa selection nilijikuta nimepangwa hapa kwa coz ya BAED tena somo la history na kiswaz, binafsi si kwamba naidharau kazi hii bali mzee wangu alinisihi sana nijaze EDUCTION tuu, kwa kigezo cha kupata mkopo na uhakika wa ajira lakn banafsi sina wito hata kidogo katika fani hii.... kila siku najiulza hao wanafunzi nitakao wafundisha mm wataiga nini kutoka kwangu kama mwalimu...?
rafiki yangu, mmoja amenishauri nibadlishe masomo angalau nisome POLTICAL SIENCIES (ps) ili niwe mwalimu wa GS coz wanafunzi wengi hawaipendi hivyo haitakuwa na madhara kwa wanafunzi kitaaluma..... rafiki mwingine akanitonya kuwa coz yangu ina faida kwangu kwani baada ya kuhitimu ninaweza kusoma coz ninayoitaka.... ni wazo zuri lakni miaka mitatu 4 nothing.... nawaza sana nimegundua kama kuna watu mwengine mwenye tatizo kama langu hivi tutakuwa walimu gani tusio kuwa na wito ndugu zangu .....? hawa madogo watafeli ile mbayaa.... coz mimi binafsi sifikirii kusumbuka na mtoto wa mtu kabisa sina wito huo... MUNGU NISAMEHE.....