Uuuuwiiiii jamani baada ya kuchomwa sindano ya dozi ya antibiotic kwa siku tano na dawa kusha nguvu , nikasema sisikii harufu hata ya choo na mdomo haunuki , saa jamani nime patwa na kikwapa hatari yani kina tema balaa na nisioo piga mswaki ni balaa, jamani nimechokoza nini huko tumboni ? Hiki kikwapa ni cha aina yake nifanyeje kiondoke?