Sija piga mswaki kwa siku tatu

Sija piga mswaki kwa siku tatu

Jamani nina pata choo kina nukia dawa hizi nazo kunywa ni tatizo au ndio uko ndani kuna majanga?
 
Uuuuwiiiii jamani baada ya kuchomwa sindano ya dozi ya antibiotic kwa siku tano na dawa kusha nguvu , nikasema sisikii harufu hata ya choo na mdomo haunuki , saa jamani nime patwa na kikwapa hatari yani kina tema balaa na nisioo piga mswaki ni balaa, jamani nimechokoza nini huko tumboni ? Hiki kikwapa ni cha aina yake nifanyeje kiondoke?
 
Back
Top Bottom