Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Mtuambie mliotazama mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Jamaa hapaswi kupata clean sheet hata moja.Kila mechi anafanya kosa la kuadhibiwa ni vile tu timu zingine hawako makini.Mtuambie mliotazama mechi
Kipa mzembe yule, angeacha iwe kona, hata mechi ya Yanga alirudisha mpira uliokuwa unatoka. Hamna kipa mle anapambwa tu.Ila chasambi lile ni shuti alimpigia kipa? Shuti kama free kick
Yule wanamdanganya na maneno mara spider 🕷 ndio maana anafungwa kizembe sanaKipa mzembe yule, angeacha iwe kona, hata mechi ya Yanga alirudisha mpira uliokuwa unatoka. Hamna kipa mle anapambwa tu.