Sijaelewa kabisa jinsi Arajiga alivyotoa faulo iliyozaa goli la kwanza Yanga leo

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo.
Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua password leo. Lakini Arajiga akaaamua kuzifungua.

Alifungiwa mechi ya Yanga vs Azam Leo Tena anafanya madhaifu makubwa sana

Kwa sisi watu wa mpira tusio washabiki Arajiga ametukosea Sana Sana aisee.
 
Wazee wa 5g
Screenshot_20230829-222750_Instagram.jpg
 
Kumbe alichezesha yule mnyaturu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo mana buana
 
Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo.
Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua password leo. Lakini Arajiga akaaamua kuzifungua.

Alifungiwa mechi ya Yanga vs Azam Leo Tena anafanya madhaifu makubwa sana

Kwa sisi watu wa mpira tusio washabiki Arajiga ametukosea Sana Sana aisee.
Feisal ana endelea aje huko ndugu wakili uchwara
 
Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo.
Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua password leo. Lakini Arajiga akaaamua kuzifungua.

Alifungiwa mechi ya Yanga vs Azam Leo Tena anafanya madhaifu makubwa sana

Kwa sisi watu wa mpira tusio washabiki Arajiga ametukosea Sana Sana aisee.
Umeona iyo faulo waliyopewa yanga na arajiga vipi ile penalt waliyonyimwa yanga yenyewe macho yako yalipata upofu ghafla?
 
Umeacha kumtetea Fei Toto against Yanga umehamia kwa faulo ya Aziz Ki sasa
 
Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo.
Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua password leo. Lakini Arajiga akaaamua kuzifungua.

Alifungiwa mechi ya Yanga vs Azam Leo Tena anafanya madhaifu makubwa sana

Kwa sisi watu wa mpira tusio washabiki Arajiga ametukosea Sana Sana aisee.
Kwa hili utashambuliwa bila mtetezi. Umechagua tukio lisiloweza kukubeba Kwa lawama zako. Ile ni faulo, Hakuna mbadala.
 
Back
Top Bottom