mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Hii mpyaYanga akifunga 5 ni sawa na 0 tu maana kila timu ikija inapigwa khamsa ,Yanga wanaanza kuhesabu kuanzia bao la 6 ndio kama la kwanza...Kwahiyo jana na JKT ni 0-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mpyaYanga akifunga 5 ni sawa na 0 tu maana kila timu ikija inapigwa khamsa ,Yanga wanaanza kuhesabu kuanzia bao la 6 ndio kama la kwanza...Kwahiyo jana na JKT ni 0-0
Yes kuna penati na red card kwa yule aliyemshika Konkoni akienda kumsalimia Mwanda.kuna penalty ya wazi kabisaa refa akawabania Yanga.
Hii mpya
Mtu wa mpira kuna Uzi upo hapo uliofungua kwa ajili ya mechi ya nusu final ya Ngao ya jamii kati ya simba na Singida? Ile mechi Singida walipiga mpira na kufunga magoli yote yakakataliwa. Kuna mechi ya pili ya final kati ya Yanga na simba pia. Yanga walifunga magoli yakazimwa,mpaka mtu alipotengenezewa nafasi za bahati ya matuta.Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo.
Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua password leo. Lakini Arajiga akaaamua kuzifungua.
Alifungiwa mechi ya Yanga vs Azam Leo Tena anafanya madhaifu makubwa sana
Kwa sisi watu wa mpira tusio washabiki Arajiga ametukosea Sana Sana aisee.