Sijaelewa kabisa jinsi Arajiga alivyotoa faulo iliyozaa goli la kwanza Yanga leo

Hivi Tanzania imekosa waamuzi Hadi kung'ang'ania waamuzi waliofungiwa. Huyu mwenyekiti was kamati ya waamuzi ni tatizo ndio maana anawakingia kifua makosa ya kibinadamu.
 

Itabidi Yanga wawaandikie barua bodi ya ligi /TFF waombe wabadilishe kanuni ili kuleta ushindani kwamba Yanga waanze kuhesabiwa magoli kuanzia goli la 6 maana By Default lazima opponent ale MKONO.
 
Mtu wa mpira kuna Uzi upo hapo uliofungua kwa ajili ya mechi ya nusu final ya Ngao ya jamii kati ya simba na Singida? Ile mechi Singida walipiga mpira na kufunga magoli yote yakakataliwa. Kuna mechi ya pili ya final kati ya Yanga na simba pia. Yanga walifunga magoli yakazimwa,mpaka mtu alipotengenezewa nafasi za bahati ya matuta.
Zile mechi ndizo zilizotukosea sana watu wa mpira kwa maamuzi yale ya wazi yaliyoonyesha wazi kuiandalia mazingira timu fulani. Zile mechi ndizo zilikuwa za kufungua Uzi. LAKINI KAMA HUKUFUNGUA UZI KWA AJILI YA ZILE MECHI MBILI KUKOSOA WAZI TIMU FULANI KUANDALIWA MAZINGIRA,KUNAJISI MPIRA WETU, BASI WEWE NI MUONGO.
 
Maumivu yakizidi,,,Muone Daktari!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…