Sidhani kama umefanya “research” yako kwa kutosha
Umbali wa vituo vya mwendokasi ni standard kama ilivo BRT zingine,
1. Jangwani mpaka Fire kuna takribani 1km ambayo ndio distance ya vituo vyote vya BRT phase 1.
2. Kituo cha Msimbazi A&B ni kituo kimoja ambacho kilijengwa kwenye kona ndio chanzo cha kukitenga
Standard ya BRT kituo kimoja ni lazima kichukua gari 8 za “articulated”
3. Foundation za BRT zinawekwa concrete grade 30 na steel za BS kwasababu vinatakiwa vikae kwa miaka 30 lakini pia ikitokea gari limehama njia na kuvamia hiko kituo, msingi wake ni imara hiyo gari isije kuvunja kituo na kuwafikia abiria na kusababisha madhara makubwa.
“I stand to be corrected”