Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

Kituo cha Tegeta kwa Ndevu na cha Azania kuna umbali wa Km 1 pale? Na Je, hakuna nafasi ya kuweka kituo kimoja? Kujaza jaza vituo kuna punguza mantiki ya "Mwendokasi"
 
Hiki ndicho nlitarajia kukiskia kwenye mjadala huu. Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…