Sijaelewa sababu ya JF kuondoa uzi wangu Kuhusu Utapeli wa Maimartha Umeondolewa

Sijaelewa sababu ya JF kuondoa uzi wangu Kuhusu Utapeli wa Maimartha Umeondolewa

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
207
Reaction score
1,122
Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa.

Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
 
Uzuri nimeusoma na ushahidi uliweka.

Pole ila ujumbe umefika.
 
Sio mahala pake. Jinai au dai huripotiwa Polisi, kisha kufunguliwa kesi Mahakamani. Uzuri ushasema jalada limekwisha funguliwa.
 
Hahaha wametembea nao sema nenda hata global tv mbona hizi habari ndo wanazipenda ili asije tapeli watu wengine asanukiwe mapema yaana lipoti polis harafu uende na huko mbona ataaibika aache u tp mazembe
 
Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa.

Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
Wengine hatukuona.

Nini kimetokea?
 
Sio mahala pake. Jinai au dai huripotiwa Polisi, kisha kufunguliwa kesi Mahakamani. Uzuri ushasema jalada limekwisha funguliwa.
Ni kweli lakini utapeli ni lazima jamii ijulishwe ili kuokoa wengine kutapeliwa siku za mbeleni.
 
Nadhani kwa vile ni hearsay, yaanh mhusika mwenyewe angeleta uzi. Ila uzuri wake tushasoma uzi.
 
Inawezekana mmoja kati ya washika Rungu wa humu JF,maimatha ni kipenzi chake
 
Atakua demu wa mod's humu!.. Nimesanuka
 
Back
Top Bottom