Kuna watu wanaishi kiutapelitapeli!
Wenyewe wanakuambia miki brand!!!
Mleta uzi huu,huyo unayesema kakutapeli
Nini,kwanini usimshulikie umripoti polisi
Mchukulie RB,akizingua kukulipia mjazie inzi
Nenda hata kwake na kirikuu ukajifidie kabebe
Ukatachoona kitakufaa
Ova