Chiferereji Cha jisatu
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 101
- 212
Wanaotakiwa huko Tanapa ni maafa deJana Tanapa wametoa nafasi za kazi lakini ambacho mimi mmeshangaa
Kuna limited age
Mwenye diploma usizidi 25year na Mwenye Degree asizidi 30years.
Au baada ya kigezo Cha JKT kutolewa Kwa Sasa Kuna limited age au kwenye miongozo Yao ya kazi ipo ipo Kwa upande wao.
Serikali iliangalie hili hapa ni kuwagawa vijana kimakundi, mtu Hana kazi na ana sifa kamaliza miaka iliyopta kaona fursa umri unamkataa
Tunatengeneza nini hapo TANAPA?
Why asichuliwe hata kama ana miaka 32, time yake ya Utumishi wa umma ikiisha anabeedroped out Kwa shida kwa hapo. Vyote n sawa ila Age it's just number itolewe watu wapewe furusaNi vigezo vyao. Usilalamike. After all life isn't fair, is it?
Kesho utaanzisha uzi wa kwanini taasisi fulani wameweka GPA kuanzia Upper Second ili uweze kuomba kazi?
Au kwanini taasisi fulani wanakupima kwanza afya kabla hawajakuajiri?
And it will go on and on... so stop it. Kuna opportunities nyingine ambazo hazina age limit. Deal with them!
Lastly, there's a chinese proverb explained it much better. It's worth reading...
"The man who blames others has a long way in his journey to go. The man who blames himself is half way there. The man who blames no one has already arrived"
Anyway. Just try to be the last man in the proverb!
Mbona wamewapendelea sana Diploma mtu humal8za sana sana akichelewa anakuwa na miaka 19 ina maana walipoweka ukomo miaka 25 maana yake wako tayari kuchukua hata aliyemaliza diploma miaka sita iliyopitaHivyo vigezo vya umri vimewalenga amabao hawana connection tu
Hivyo vigezo vipo tu kwa wasio na connectionMbona wamewapendelea sana Diploma mtu humal8za sana sana akichelewa anakuwa na miaka 19 ina maana walipoweka ukomo miaka 25 maana yake wako tayari kuchukua hata aliyemaliza diploma miaka sita iliyopita
Digrii wengi akichelewa sana ni miaka 24 kwa hiyo walipoweka ukomo.miaka 30 ina maana wako tayari kuchukua hata aliyemaliza miaka sita iliyopita
Wako fair
Umejibu vema,. Ndugu vzr Zaid ila dempo kumple mwnye age 32 miez kadhaa awez adopt mazngra kweliInatakiwa vijan wenye nguvu maana Tanapa ni jesh ndiyo maana mwanzoni walitaka watu waliopita jkt,,,,kaz ya kukimbizan na majangiri siyo mchezo
Miaka ya 90's mtu alikuwa anaanza darsa la kwanza yupo na miaka 7, hizo hesbabu zako hazipo sawa Hawa wa kisasa wa 20,s chanjo za kuboost Kila wiki na vyakuka vya lishe wanaanza na miaka minne had mitano BOSSMbona wamewapendelea sana Diploma mtu humal8za sana sana akichelewa anakuwa na miaka 19 ina maana walipoweka ukomo miaka 25 maana yake wako tayari kuchukua hata aliyemaliza diploma miaka sita iliyopita
Digrii wengi akichelewa sana ni miaka 24 kwa hiyo walipoweka ukomo.miaka 30 ina maana wako tayari kuchukua hata aliyemaliza miaka sita iliyopita
Wako fair