Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #201
Tatizo lipo kwa Mgombea mwenyewe. Matusi, Uropokaji na Kejeli vinamfanya asiaminike mbele ya Wananchi.
Hayo Matusi, Uropokaji na Kejeli ilifaa awaachie Wagombea Ubunge na Madiwani, siyo yeye. Inaonekana ndani ya Chama chake anawamudu wote kuanzia Mwenyekiti na Katibu wake, ndiyo maana wanashindwa kumshauri.
Acha upimbi mkuu ..meza kuu iko wp hapo?? Undanganya ili iweje?? Uzr hatusombi watu kwa matrekta Kama ninyi..angalia upichopost na hizo picha mbili utofauti wake ...acha upimbi mkuuHao waliokaa hapo kwenye meza kuu ni kina nani?View attachment 1558808
Then unataka hao hao Wagogo wawachague? Unapotafuta kura huwezi kufanya ubaguzi, sasa hata wale ambao wapo Dodoma ambao walitegemea kujiunga na chama chako au wapo kwenye kampeni ili washinde unafikiri wanakufikiriaje? Huu ubaguzi wa chama chenu ndio umewafikisha hapo, mnapoambiwa Chadema ni chama cha ukoo wa kina Mtei mnabwata, mnapoambiwa mlevi wa Konyagi anauwa chama mnabwatuka.Dodoma ambako ndiyo makao makuu ya CCM na Serikali wananchi wake ni mazezeta. Dodoma ndiyo wanakotoka omba omba wote nchini, wanaishi nyumba za mgongo wa tembo (yaani sakafu udongo na paa udono) lakini bado wanachagua CCM.
WAGOGO HAWAJITAMBUI
Kuhusu kusombwa watu hata huku chadema tunasombaAcha upimbi mkuu ..meza kuu iko wp hapo?? Undanganya ili iweje?? Uzr hatusombi watu kwa matrekta Kama ninyi..angalia upichopost na hizo picha mbili utofauti wake ...acha upimbi mkuuView attachment 1558815View attachment 1558817View attachment 1558818
picha za asubuhi hizo.Niwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.
Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.
Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa CHADEMA.
Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.
Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko CCM basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.
Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.
Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.
Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.
Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.
Yeye hana haki ya kufungua uzi?Huyo mjinga mleta uzi ni kada wa lumumba, msihangaike nae hana akili.
Mawazo ya kipimbi hayoChadema wakipata wabunge watano mwaka huu wakatambikie
Duhh, hii ni noma. Tena alipopigiwa risasi af raia hawajali? Kwa kweli Kuna tatizoNaanza kupata mashaka huenda mgombea wetu anahujumiwa sehemu.
Sikutegema sehemu kama dodoma watu wakawa wachache hivi
Lissu kawafokea sana watu wa shinyanga jana badala ya kuomba kule.Duuuuu chadema mmechanganyikiwa
CCM wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
Wewe ni mshamba mmoja wa Lumumba mwenye akili za TBCCM
eti unajifanya wewe ni.kamanda kumbe ni hewa usiyejitambua
Naweka picha za Dodoma leo
View attachment 1558509View attachment 1558510View attachment 1558511View attachment 1558512
Watu wapo isipokuwa CCM na UVCCM ndiyo wametengeneza propaganda kuonyesha kuwa Chadema hawana watu kwenye mikutano yaoNiwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.
Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.
Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa CHADEMA.
Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.
Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko CCM basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.
Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.
Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.
Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.
Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.
CCM wanahaha kuwahujumu chadema mpaka kwenye picha za mikutano ya chademaHaaaahaaaa CCM ni janga