Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #201
Siku ya kwanza pale mbagala aliambiwa kwa kunong'onezwa kuwa muda umekwisha, akaropoka kwa nguvu muda unakwishaje nipo jukwaani. Sisi sijui nani alimwambia achelewe kupanda jukwaani
Tatizo lipo kwa Mgombea mwenyewe. Matusi, Uropokaji na Kejeli vinamfanya asiaminike mbele ya Wananchi.
Hayo Matusi, Uropokaji na Kejeli ilifaa awaachie Wagombea Ubunge na Madiwani, siyo yeye. Inaonekana ndani ya Chama chake anawamudu wote kuanzia Mwenyekiti na Katibu wake, ndiyo maana wanashindwa kumshauri.